Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool inambakiza Wards sababu Manninger kaisha ondoka!Na huyu atakuwa kipa namba moja wa Liverpool
Hata kocha wa hudder (best wa klopp) ashasema ataongea na klopp amtumie tena. Dogo bado mdogo he will go out. Manninger alikuwa kama.anafundisha wengine kudaka alishazeeeka. Bado tutamuona mignolet golini na yule mjerumani as no.2 au wakibadilishana. But dogo ataenda hudderslfield tena.
 
Salah's deal is done!
Kuna habari tumelipa pound Milion 39
Kazi nzuri!
Bado sasa winger wa kireno na OX
Then turudi kwa Van Djik sababu kocha kaja mpya na sheria zake pale Soton
God bless THE REDS
 
Hivi hatuwezi kumpata Aubameyang?...then Van Djik, afu Ox... vile tumemnasa Salah, hapo tutakoswa bek tatu..tu na Dm ili jeshi likamilike
Hii habari ya Aubameyang naona leo imepamba moto kweli naomba zisiishie kuwa rumours jamaa wamwage mpunga kweli dogo aje anfield.
 
Hiyo habari ni changamsha jiji. Hatuwezi.mwaga 71m labda kama tutabadilishana na mchezaji kama tulivyofanya kwa torres 2007 (garcia plus money).
 
Hivi hatuwezi kumpata Aubameyang?...then Van Djik, afu Ox... vile tumemnasa Salah, hapo tutakoswa bek tatu..tu na Dm ili jeshi likamilike
Aubameyang hawezi kucheza chini ya klopp mkuu, hizi ni tetesi tu kuna zaidi ya asilimia 90 PEA atabaki dortmund msimu ujao
 
Aubameyang hawezi kucheza chini ya klopp mkuu, hizi ni tetesi tu kuna zaidi ya asilimia 90 PEA atabaki dortmund msimu ujao

Mbona kacheza chini ya Tuchel pale BVB kocha ambaye hamfikii kwa lolote Klopp?
Kwa nn Aube asucheze chini ya Klopp?
 
Mbona kacheza chini ya Tuchel pale BVB kocha ambaye hamfikii kwa lolote Klopp?
Kwa nn Aube asucheze chini ya Klopp?
Chini ya klopp Auba mara nyingi alikua anachezeshwa kama winger nafasi ambayo jamaa hakua comfortable nayo, Huyu huyu klopp ndio alitaka kumuuza AS Roma hadi watzke alipoingilia kati.
 
Hiyo habari ni changamsha jiji. Hatuwezi.mwaga 71m labda kama tutabadilishana na mchezaji kama tulivyofanya kwa torres 2007 (garcia plus money).
Hilo dau kubwa sana FSG sijui kama watakubali kutoa kweli.
 
Nmeona RB Lezpig hawataki tuuzia Naby Keita. Wanadai Keita hauzwi ng'o. Ssa cjui Klopp atamuangalia DM gn mwngine wa kutufaa....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…