Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wala usihofu mwana. Hata westbrom tulikuwa hatujahi kumfunga tony pulis kwenye home ground kwa 6 years but tulimlala juzi.
 
 


Cristiano Ronaldo better than

Pele
Eusebio
Platini
Zico

Roberto Carlos?????
 
Ina maana Conte atamfukuza Hendo lkn ata keep mediocre Mosses na Alonso ktk first 11 yake?
Hivi team ambayo haichezi CL on regular basis ni mchezaji gani wa maana atakubali kuja bila kuvunja bank?
JK akiifanya Liverpool kama ni team ya CL yearly ndipo tutaimarika zaidi!
 
WestHam atatupa changamoto ila tutakachomfanya hatokaa aamini. Hyu jamaa mwenye chembe chembe za ukenya wa kuitwa Origi aanzie bench. Yaani anankera kupita maelezo. Tukienda io Olympic stadium twende kushambulia. Anzisha Can, Gini na Lallana kwa midfield, eka Coutinho, Firmino na Sturridge mbele, walakhii hao mbwa "Wagonga Nyundo" tutawamaliza. Top four bdo naimani nayo.
 
Cristiano Ronaldo better than

Pele
Eusebio
Platini
Zico

Roberto Carlos?????

Yes, he is.

Club kubwa aliyochezea Eusabio ni Benifica tu, kulinganisha na Clubs zingine alizochezea..Ronaldo has played for Man utd and now Madrid katika club zote hizi mbili amekuwa ni "star player" na kushinda Ballon d'ors katika clubs zote mbili. katika ngazi ya club Ronaldo amekuwa na career nzuri kuliko Eusabio despite kuwa na magoal mengi kuliko Ronaldo, though Ronaldo angescore goals zaidi ya 1000 kama angekuwa amechezea ligi ya portugal kwa maisha yake yote. he has more than 400 goals katika leagues ya England na Spain Combined. sidhani kama anahitaji kingine kuprove kuwa ni bora zaidi ya Eusabio..pia Ronaldo ndiyo mfungaji bora wa muda wote kwenye team ya Taifa ya Portugal with more than 60 goals. he has surpassed Eusabio.

Platini had a good career but Ronaldo amekuwa nayo nzuri zaidi, kuanzia kwenye goals, apps, cups etc.

well i dont rate Pele..

talent wise, ni players wachache sana wanaomfikia Zico, he had everything..but ukimlinganisha na Ronaldo katika mafanikio binafsi ya kiuchezaji na kimpira kwa ujumla, Ronaldo amekuwa na career nzuri kuliko Zico. ukizungumzia talents katik generation hii sidhani kama utamuacha Hatem Ben Arfa but mtu kama Welbeck amekuwa na career nzuri kuliko Ben Arfa. so sometimes work ethic na commitment beats talent. Ronaldo ana talent pia but work ethic ndiyo inamsaidia zaidi, he's 32 na bado anacompete hard for titles and individual awards. am a huge fan of Lionel Messi, but i respect Ronaldo kwasababu ameweza kutoa competition ya kutosha kwenye era ambayo ina the most talented player to ever grace this planet Lionel Messi.

Ronaldo is not rated by many, kwasababu tu anacheza kwenye era moja na Messi. but ameprove kuwa ni moja kati ya wachezaji bora kuwahi kucheza mpira.


i rate Roberto carlos, na kwenye my top Ten i had to put one defender, na sidhani kama kuna complete DF kama Franco Baresi..

Roberto Carlos ni number 1 LB to ever play football, but surely siyo greatest DF to ever play football.
 

Henderson? lol

how can you be a football fan and rate Henderson?

Btw Alonso is average but he's miles better than Milner.

na kama unafikiria kuwa Divock Origi ana mchango mkubwa sana kwenye team, kuliko Moses pale Chelsea then football is not your sport.
 
I seriously want us to finish the league in one of the top four spots.....

Sio kwa sababu ya kuenjoy watching we play Champions league against the great teams....ili tuone usajili utakuwaje...

Tumetumia sana kutokuwepo kwenye UCL kwa muda mrefu kama Excuse ya kutopata signs za top top players.....

Sasa tupate hiyo CL next season...afu tuone watawasajili akina nani.....

Klopp ni kocha mzuri sana....tatizo ni vile tu simuelewi misimamo yake hasa kwenye ishu za transfers....


Yeye anasema anaamini kwenye 'trainings' na sio 'transfers'

Ananichanganya tu....

Conte kaja pale Chelsea Preseason imeshaanza last year...kaanza na ushindi mwanzo mwisho na keshokutwa anachukua ndoo....

To be honest...kinachonikera LFC ni lile neno "Project" Miaka inaenda mbele project yenyewe haieleweki....

Kama tumeamua ku-recruit young players with potential wawe kweli kweli na hizo potential....

Mchezaji kama Dybala,kwa mfano...3 seasons ago tungempata kwa below £15m sasa hivi yule bila zaidi ya £70m humtoi pale Juve....

Tunaenda kusajili wachezaji wa hovyohovyo tu Siku zinaenda tunabadilisha timu daily

Angalia timu kama Spurs walivyo smart kwenye usajili...hawauzi ovyo wala kusajili ovyo....wamekaa pamoja kama timu kwa muda mrefu...wamecheza pamoja,wanaelewana....

Sisi kila Season tunaleta wapya 5-6 tunauza 8-9 hii yote ni matokeo ya kufanya usajili mbovu Mara kwa Mara......
 
Simuelewi Origi bora hata umchezeshe Benteke timu yetu mbovu kwa kweli kinachoniuma zaidi hata msimu wa usajili hatutanunua wachezaji wanaoeleweka wamarekani wagumu wa kutoa hela.:
 
This is what they call "honest opinion"
hayo mambo ya blame game waachiwe wanasiasa huko
 
I remind you that Mosses played for Liverpool two seasons ago!
He was more than a shit!
Soccer is a game of team work
Mosses ni mmoja wa wachezaji wa hovyo wanao nufaika na team work capabilities ya akina Hazard
Any day any time,I will take semi -trash Origi for full-trash Mosses
 
Captain Fantastic pia alikuwepo kwenye utoaji wa tunzo za standard charted jana usiku
 
JK is the best coach ever to manage Liverpoo!
Mpe kikosi hiki Conte au Mourihno au Wenger au Poche uone hata kama atashika nafasi ya 12
Tukiingia CL ndipo sasa ataleta watu wa ukweli na namuelewa sana huyu maverick!
Go JK Go
Hahahah mashabiki wa liver mnajitia uchizi tuu sisi Chelsea tunabeba makombe mtabaki hvohvo JK ni best coach shit team shit fans shit anfield wachezaji unasajili soton unataka uende wapi [emoji2] [emoji2] wenzako wanachukua wachezaji wa uhakika kombe mtabeba baadae sanaaa
 
Are you a soccer fan?
Chelsea anachukia wachezaji wake wapi?
Unajua Hazard na Willian wametoka wapi?
Nonsense at all!
 
njia pekee ya kuirudisha liverpool katika ushindani wa makombe ni kuifumua upya kuanzia jina, wamiliki, Jersey, uwanja hadi mashabiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…