Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Spurs Ameshalaliwa Kamoja... Kama Naiyona Nafasi Ya Pili ikitunukia Msimu huu iwapo na Man City atalaliwa pia.....
kwel kabisa mkuu yaan tunachezesha hadi yule dogo mwenye miaka 17 kweny big matchKikosi cha leo...
Liverpool:
Mignolet, Clyne, Matip, Klavan, Milner, Can, Wijnaldum, Lallana, Mane, Coutinho, Origi
Subs:
Karius, Gomez, Moreno, Lucas, Woodburn, Wilson, Alexander-Arnold
Hapa Ukiangalia Kwenye Subs ndio Utaona Rasmi Uzembe Wa Klopp Kuifanya Timu Yetu Kuwa na Kikosi Chembemba Namna hii....
Yani haina Strong Bench kabisa!!! Tukipata injury basi atakaeingia basi wakuingiza Sub hatuna.....