Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

072 hizo timu ulizozitaja ni timu zenye mafanikio Sana England lakin kwa sasa hasa miaka ya karibuni Sio timu kubwa angalau kidogo Hata manure japo nae anakuja mliko nyie.

Endapo itaitishwa lokoo ya timu kubwa barani ulaya, timu pekee itakayosimama na kuitika toka England ni Chelsea peke yake kwa sasa, the rest mtaulizwa WHO? Spain ni madrid, barca na atlet, Italy ni juve endapo millan atainuka watamuuliza WHO ARE YOU?

Tofautisha Kati ya kuwa na mafanikio na kuwa timu kubwa, huwezi kuita timu ni kubwa wakati Hata usiku wa ulaya huonekani, miaka ya 80's Liverpool ndio ilikua timu kubwa England na ulaya kwa ujumla the rest is history, manure ni kuanzia 90's to 20's the rest is history lakin kwa sasa ni zamu ya Abromovic fc nae atafika Kipindi atawaachia wengine
 
Acha ushabiki maandazi.huijui arsenal??we wa ajabu kweli.ni timu ya mpira iko ligi kuu uingereza.ni moja ta timu kubwa kule.manchster,lvpool,aseno,chelseaa........ Ndo timu kubwa england.au dharau tuu??
Kweli umekalala,
 
Liverpool anacheza CL very easy
Wala msiwe na wasi wasi kw ahili
We may go short for Championship but not for CL spot!
 
Kama kuna ka ukweli ivi
 
Wee dogo ni kilazer wakupitiliza inaonekana umeanza kushabikia mpira mwaka juzi kama sio mwaka jana 2016. Unashindwa hata kutofautisha neno Team na neno Club? Tutolee ukilazer wako humu kabla hujapigwa ban
 
Kwa ukubwa wa club hio club yako haijamfikia hata Al ahly ya misri... kitimu kina makombe 19 tu alaf unakuja kupigapiga kelele blaah blaah kibao..kwanza bila mourinho hio chelsea tusingeijua kwenye uso wa dunia alafu unakuja kupiga kelele ni club kubwa nakuiondoa hata Milan sijui nikuweke kundi gani kama sio la kina barshite
 
Leta vigezo vyako hapa vyakuiondoa liverpool kua club kubwa na chelsea kua club kubwa kwa mujibu wa comment zako
 
Wee dogo ni kilazer wakupitiliza inaonekana umeanza kushabikia mpira mwaka juzi kama sio mwaka jana 2016. Unashindwa hata kutofautisha neno Team na neno Club? Tutolee ukilazer wako humu kabla hujapigwa ban
We unaniona dogo wakati mama ako ananiona mtu mzima
 


Hivi wewe umeshawahi angalau Kucheza Chandimu ili tujue ufahamu wako Katika Soka ni Upi?

Kwanza Ufahamu Wazi Kuwa Hakuna Hata Mchezaji Moja Duniani Mwenye Jina Kubwa Ambaye Chelsea ikawa ni timu ya Ndoto Yake!!!! Takriban Wachezaji Wote Wanaojiunga Na Chelsea basi si Kwasababu Ya Ukubwa Wake, bali ni All about money! Nothing else...... Wachezaji Wangapi Wenye Majina Wasiohadalika Na Hela Waliikataa Chelsea? Au umeshasahau Kina Robinho, Ronaldinho?

Hao Kina Hazard Wote Ndoto Zao Zipo Kwa Real Madrid na Barcelona na Wala si Chelsea! Bali Wameekwa Pale Chelsea Na Hela tu £200000+ per week.....

Kwahiyo Ni Aibu Kuisema Vibaya Milan na Ukasema Si Timu Kubwa bali Timu Kubwa ni Kigenge cha Chelsea.....

Kwa Kipi Ulichikifanya Hata Chelsea Ukamzidi Man U, Liverpool na Arsenal kwa Ukubwa??

Timu Hata Washabiki Haina ikisha Unaita Timu Kubwa?? Liverpool na Manchester Zina Matawi Dunia Nzima na Mabalozi Wanaowakilisha Matawi Hayo Waoi Dunia Nzima! Je Chelsea umewahi Kusikia ina Tawi Pahala popote?
Mashabiki wewenyewe Mumenunuliwa na Abramovic Kutoka Man U na Arsenal mwaka 2004 halafu timu ya Mashabiki Wa Kununua eti inajiita Timu Kubwa...!!!

Kwa Suala la Chelsea Kuwa Timu Kubwa Kwa Ngazi Ya Ulaya hilo Bado sana! Sahau hasa.......
 
Ahsante mkuu kwa kuja kuongeza nguvu. Vipi umepitia ile link aliyoweka Belo? Kwa maoni yangu kuna ukweli flani ibgawa ni maoni ya mwandishi.
 
Wacha Matusi Ya Kiholela Wewe! Wewe umeitwa Dogo Sasa Huyu MAMA kahusu Nini Hap?
Unatokwa povu Mi kumjibu huyo fungus wakati yeye kaingilia maongezi yangu na zeroseventytwo na kuniita Mi keilaza we ukaona Poa tu au Sio.

Ukija kimichezo nitakujibu kimichezo Ila ukileta shombo nitakujibu shombo
Nipe categories angalau tano ya timu kuitwa timu kubwa.
 
Nipe categories angalau tano ya timu kuitwa timu kubwa.


Na ingelikuwa Unazijua Hizo Categories basi ungelikwisha Lihama kwa hiari yako hili jukwaa! Lakini Wakati Huzijui haina Shida Endelea Hivyo hivyo Kuamini Kuwa Kuongoza Ligi Ndiyo Category pekee Ya Timu Kuitwa Timu Kubwa.......
 
Samahani mkuu..hivi Liverpool walishawahi kumsajili mchezaji mkubwa mwenye jina, au walisajili wachezaji wa kawaida kisha wakapatia majina huku Liverpool?
(Aulizaye,analo ajifunzalo)
 
Samahani mkuu..hivi Liverpool walishawahi kumsajili mchezaji mkubwa mwenye jina, au walisajili wachezaji wa kawaida kisha wakapatia majina huku Liverpool?
(Aulizaye,analo ajifunzalo)

Kuna sababu nyingi za Liverpool kushindwa kisign wachezaji wakubwa, (refer ishu ya Sanchez, gotze)

1.pesa hamna, nyie mnataka wale wachezaji wa watatu mia, ukinunua wanne unapewa na nyongeza mmoja

2.wage bill structure (mchezaji mkubwa anataka mshahara mkubwa)

3.eneo ambalo Liverpool ipo haimshawishi mchezaji kwenda kuweka makazi yake huko

4.kutokuwepo champions league na hamna matumaini ya kushiriki tena, angalau mngekua mnaonesha kupigana kurudi mngeweza washawishi

5.ukame wa makombe unaowakabili, mishahara midogo, makombe nayo hamna sasa mchezaji gani mkubwa atataka aje kupoteza talent yake hapa kisa historia ya mababu kitu ambacho hakina manufaa kwake.
Samahani mkuu..hivi Liverpool walishawahi kumsajili mchezaji mkubwa mwenye jina, au walisajili wachezaji wa kawaida kisha wakapatia majina huku Liverpool?
(Aulizaye,analo ajifunzalo)
 
Ningekuwa mwalimu wako ningekupa alama 0 kama aliyopata Bashite. Hujajibu swali. Okhondima yeye anakuuliza ni wachezaji gani Liverpool waliwasajili wakiwa na majina makubwa unakuja na ngonjera.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…