Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhan leo mmeamka salama kidogo, Polen sana majiran ndio ukubwa huo.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naelekea kwa majiran wengine Washika mikuki kutoa pole.
Mvumilie tu next Spurs
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuwe waungwana jamani kipindi kigumu kwao na bado mna wapatiliza na maneno ya kukatisha tamaa
 
Klop amekuwa mtu wa hovyoo sana Hana plan B za kimbinu,na plan B ya wachezaji wake.
 
Ndiyo soka
Team iliyo cheza mpira imeanguka
Ndiyo soka
Lkn Liverpool itarudi tena ktk uimara wake
We will be a champion

Kweli ndo soka, ila dah ile consistence yenu ya mwanzo ilikuwa ni hatari.
 
Kweli ndo soka, ila dah ile consistence yenu ya mwanzo ilikuwa ni hatari.
Makocha wote wa EPL wameisha jua playbooks za JK
Sasa aje na mbinu mpya tutaanza kushinda
Ona Chelsea mechi 5 za kwanza walicheza vibaya sana hadi Conte akaja na mbinu mpya!
Ligi bado tusife moyo
Kuna bado mechi 15 ni nyingi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…