Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tatizo la hii timu yetu liko zaidi kichwani (mental) kuliko kitu kingine chochote. timu haipotezi mechi dhidi ya top 6 lakini inapoteza against zilizoko kwenye relegation dogfight? mental!!

ni kazi ya manager kuwajenga wachezaji wake upya ingawa kusema za kweli wengi wao ni magarasa tu.

Klopp nadhani keshaanza kutambua kuwa EPL is a totally different animal na huwezi kushinda chochote na wachezaji urojo urojo kama Lalana, etc. so asiponunua wachezaji wazuri this summer atambue kuwa Xmas ya mwaka huu haitamkuta Melwood!
 

Sawa Tuchekeni Munadeserve Kufanya Hivyo ni Wakati wenu Huu....
 
Klopp sio kocha huyu....bvb kataka kuishusha ndio akakimbilia huku kwetu afu nikimwangalia Klopp nkakumbuka na mbwembwe zake kipind anakuja kwetu nabaki nacheka tu
 
Klopp sio kocha huyu....bvb kataka kuishusha ndio akakimbilia huku kwetu afu nikimwangalia Klopp nkakumbuka na mbwembwe zake kipind anakuja kwetu nabaki nacheka tu
Keep
Hope
Alive

Pole best yangu.....
 
How Can I Carry on to trust Someone Who Try every thing to break My trust? Imani bila Ya Furaha ni Meaningless...
Pole bana ni mapema sana kwani mwaka ameshafikisha eeehh? Msitumue timue kama sisi mtasheki shauri yenu!!!
 
Wazee wakujisifia kuwafunga big team kwenye ubora wao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…