Muafrika kawa mfalme uingereza.Welcome back Sadio Mańe
Nyie wachambuzi, tumuamini nani sasa?
View attachment 465352
Mapokezi ya Saido Mane hivi sasa [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Welcome back Sadio Mańe
we will bounce back and f.u.c.k all haters
Aisee kweli England imeishiwa yaani huyu nyanya sijui laaana mchezaji bora [emoji15] [emoji15] [emoji15] ukistaajabu ya loserfool utayaona ya wolve[emoji23] [emoji23] [emoji23]Congratulations to Adam Lallana, your Vauxhall England Player of the Year for 2016!
View attachment 465331
Nasikia mmeanzisha mbinu za kuchoma uwanja ili mbakie nafasi yenu ya sita!!Umekua wimbo wenu zaidi ya miaka kumi sasa
Umekua wimbo wenu zaidi ya miaka kumi sasa
Atalia vizuri ngoja mwezi wa pili ujeNaona Morinho Analia Na Ratiba.......
Sasa pale mwanitesa united kuna mchezaji gani mwenye kiwango cha Lallana? Wote kama mipunda tu isiyojielewaAisee kweli England imeishiwa yaani huyu nyanya sijui laaana mchezaji bora [emoji15] [emoji15] [emoji15] ukistaajabu ya loserfool utayaona ya wolve[emoji23] [emoji23] [emoji23]