Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MY POINT IS: KLOPP MUST LEAVE OUR CLUB AT THE END OF THIS SEASON. PERIOD


Mkuu Ed n Edd nEddy Nashindwa Hata KukuQuote.... Mkuu Mimi Nahisi Tatizo la Timu Si Kocha... Bali Ni Aina Ya Wachezaji Alionao Ni Kwamba Wameshafikia Limit Katika Uwezo Wao...... Amekuta Wachezaji Magarasa Kutoka Kwa Watangulizi Wake Kwahiyo Anachohitajika Ni Kufanya Usajili ili Kutengeza Timu Ya Ushindani...
Klopp must Stay For Bright Future....
 
Tukitolewa na Soton naacha kabisa kupoteza muda wangu kuangalia mechi za Liver. Akiendelea hivi Klopp tunamaliza wa 6 au 7

ivi itakuwaje awe na UCL ,EPL,Carling na FA??
chances za kumtoa Soton japo tupo nyumbani are very slim
 
Na huu ndo utu. Hata kama marehemu alikuwa adui yako

Hahahahahahahahahahahahahaha
Msiba sio kitu kidogo majirani zetu wanapitia kipindi kigumu ila wajue tupo pamoja nao sijui rambi rambi anapokea nani ? ila mwaka huu wenu naona mambo yamenyooka hongereni the blues
 
samahani lakini, ina maana kwa kauli yako ya "wachezaji wamefikia limit" unamaanisha kuanzia sasa ushindi kwenu ni ndoto labda tu Klopp afanye usajili?

tafadhali napenda tu kujua.
 
samahani lakini, ina maana kwa kauli yako ya "wachezaji wamefikia limit" unamaanisha kuanzia sasa ushindi kwenu ni ndoto labda tu Klopp afanye usajili?

tafadhali napenda tu kujua.
Wewe ni mchokozi!
 
samahani lakini, ina maana kwa kauli yako ya "wachezaji wamefikia limit" unamaanisha kuanzia sasa ushindi kwenu ni ndoto labda tu Klopp afanye usajili?

tafadhali napenda tu kujua.
Wewe ni mchokozi!
mwe mbona nimekuwa mpole sana mana mie mwenyewe bado najikongoja.
 
Majogoo hayatakiwi kucheza mvua inaponyesha, yataroa tu. Ogopa kucheza za timu zinazoona kifo kipo karibu. Majogoo yalitupiwa mtama/mchele, yalijisahau, wajanja wakatumia kisu. Au lilikuwa panga?
 
Mkuu kwa kauli ya klopp alisema hawezi mshawishi mchezaji yoyote kwa pesa bali kwa performance ya timu unadhani mchezaji gani atakuwa willingly kujiunga na consistency-inconsistency team?

Bright future unayoiongelea its already singing everyday in our very well song 'you'll never walk alone', do you think we can see the golden sky at his (klopp) era?. 2 final all lost with a very poor performance.

January it's over no new sign, usitegemee mane kurudi leo kwa uchezaji wa Senegal they can reach final (probably) tutakuwa tumepoteza game ngapi hapo?

Believe it or not team yetu now ni team ndogo sana tena sana tunakuwa tunacheza kama Sunderland, Swansea and the like. Play very well against top six and play very poor against others, even we struggle against Plymouth is it real Liverpool? I am DOUBTER not a Believer anymore.

KLOPP MUST LEAVE OUR CLUB
 
[emoji122] [emoji122]
 
hahhahaa mbona mapema jamani? mana mlianza na mbwembwe za magoli 6 mara 5 mkikosa sana basi 3 hapo tunasema leo liver hayuko vizuri. khaa mwache Klopp bwana ameiwezea timu sana.
Muda huwa haurudi nyuma, ATUPISHE.
 
Mkuu vipi, yamekua hayo?? Nakumbuka wembeee alisema klopp ni Rodgers ila kavaa sura ya klopp tu, watu walimu attack sana na ile misemo ya ngoja apate timu yake, kuna mwingine alikuja akasema klop will be a failure, hahahaaaaaaa karibu na wewe kwenye ulimwengu wa ant kloppism.
 
Mkuu huu msimu wakati unaanza nili-promise kama hatutapata kombe lolote (EPL or FA) nitapumzika kuwa karibu na huu mchezo, nadhani maneno yanaenda kutimia. Just tired with this shit.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…