Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,793
Mkuu unachokifanya hapa ni kuleta mzaha msibani kwa jirani.
Si hekma kabisa!
Matusi ni ushamba, uhuni wa ki-bushboy na utoto pia.We vipi wewe!? Acha ushabiki wa kipumbavu! Mbona hili linafanyika humu kwa muda mrefu miongoni mwa washabiki humu!? Kama hukupenda pita kimya kimya.
Matusi ni ushamba, uhuni wa ki-bushboy na utoto pia.
Wewe nahisi ni "Mkwere"!
Lakini pia sijaona ulipotania. Nimeona umeweka picha with captions tu kama taarifa nikaona mdau kakomenti. Mwanzoni nilidhani aliandika kimzaha ila sasa nimegundua kuwa atakuwa yu mgeni humu.Ukionyesha upumbavu lazima uambiwe ukweli bila kumung'unya. Kuna mashabiki tunataniana humu kwa muda mrefu sana wewe sijawahi kukuona. Acha kudandia yale usiyoyajua na kama huna kifua nacho. Ushabiki wako wa kipumbavu peleka kwingine siyo humu wewe shabiki uchwara.
Eti kuweka picha tu umenuna! Wewe kweli ni shabiki uchwara.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] imekuwaje tenaaLeo liver kina MTU anatembea peke yake.
wametembea na magoli.Leo liver kina MTU anatembea peke yake.
hahhahaa mbona mapema jamani? mana mlianza na mbwembwe za magoli 6 mara 5 mkikosa sana basi 3 hapo tunasema leo liver hayuko vizuri. khaa mwache Klopp bwana ameiwezea timu sana.MY POINT IS: KLOPP MUST LEAVE OUR CLUB AT THE END OF THIS SEASON. PERIOD