Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna Shaka Hii Ndiyo Line-Up Ya Leo... Au Munahisi Kutakuwa na Mabadiliko Yoyote??
Manake ingawa Matip amesharuhusiwa Kucheza, Lakini Mazoezi Ndiyokwanza Ameanza Jana...
Na Clyne bado Fitness Yake haijakaa sawa...
DS na Origi Nahisi Watatokea Benchi.....

Namwona Klavan super central defender upcoming aisee kikosi kizuri na Leo tupo at our Church hope our choir will sing our song through out the game here the Reds come 3 points muhimu huku tukiomba mbaya kwa spurs
 
Don't Worry bro.. Leo Tunarudi Kwenye Nafasi Yetu (Ya 2) na tarehe 31 tunampakata Conte....
 
Na Kuhusu DS na Origi Naona Pressure imeshakuwa Kubwa Kwa Upande Wao! Wasipojiangalia tena Performances Zao Walizozionesha Kuanzia December mpaka Hii January Basi Benchi Linawahusu au Hata Loan na Selling Huenda ikawa Ndiyo Hatma Yao.....
 
True say! DS ametuangusha sana prone to injury imekuwa severe,Origi amepunguza kujiamini sana naona tetesi za yule Dogo wa Leverkusen inaonekana kuwa ngumu maana naona super giant zingine zinatia mkono wao,na FSA pesa waliyotoa inaweza rudi maana klopp amehamua kuwatengeneza vijana zaidi na ndo kawaida ya Wajerumani wanaamini katika youth talents let wait
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…