Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I did not say he(Klopp) rates him.I said he likes him....his commitment.Hivyo vitu ni tofauti.Hendo is good in character...not good enough in playmaking.Sometimes coaches needs such characters....

Hendo's Character huwa inakuwepo team inapocheza vizuri..

but mambo yakiwa mabaya huwa anajificha, haonekani uwanjani..

character and leadership alitakiwa aioneshe kwenye game kama ya Bournemouth kwenye second half tulivyo-lose our heads..but instead jamaa akawa anajificha kama kawaida..the same kwenye game ya West ham..

and player wanaoongea sana kwenye dressing room ni Lovren, Milner na Lucas..so i think Lovren has more character than Henderson, Lovren is so shit, but man never hides when things get mess..nadhan unajua kuwa Klopp wanted kumpa ucaptain Lovren kabla ya msimu kuanza..i guess reaction ya fans ikamfanya ahairishe..

Henderson is a nothing player. Average..yes he's been helpfully this season, but hata kina Cissokho, traore, Paulisen, Jovanovic etc waliwahi kuwa helpfully at one point kwenye team.

he's not good enough for LFC..
 
Lovren is so shit, but man never hides when things get mess..nadhan unajua kuwa Klopp wanted kumpa ucaptain Lovren kabla ya msimu kuanza..i guess reaction ya fans ikamfanya ahairishe..

Umenifanya nikaitafute hii pic against Everton ... truthfully huwa tukifunga goli wakati wa ushangiliaji huwa namtafuta kwanza Lovren.

Akifanyaga yale makosa yake ya kijinga huwa anajitahidi kuya-cover kwa kila hali na akifanikiwa huwa ana-passion moja good sana.

5b9542781f912473fca144707a950a37.jpg
 
Kwan unavyoonaga anacheza vibaya huwa unajua klopp kamuelekeza kufanya nini uwanjani?Unajuaje Kama hatimizi majukumu Kama alivyoelekezwa? Tatizo letu tumezikariri namba zetu hizi za mchangani basi tunadhani na huko ni hivyo hivyo. namba 6 hiyo hiyo unaweza kuta inachezwa tofauti tofauti

Mkuu Wewe Ni Mwanasport! Hivi Huna Taarifa Kuwa Klopp Anatafuta Mbadala Wake (Defensive Midfielder)?
Hebu Jaribu Kuperuzi Official Website Ya Liverpool Kila Mara Uone Klopp Anavyotafuta Kiungo Wa Kumreplace Hende....
Sasa Unadhani Kama Anatimiza Majukumu Yake Kwanini Klopp Analia Na Kina Dahoud?
 
Umenifanya nikaitafute hii pic against Everton ... truthfully huwa tukifunga goli wakati wa ushangiliaji huwa namtafuta kwanza Lovren.

Akifanyaga yale makosa yake ya kijinga huwa anajitahidi kuya-cover kwa kila hali na akifanikiwa huwa ana-passion moja good sana.

5b9542781f912473fca144707a950a37.jpg

hahahaha man was welcoming Mane to "90-minute winner club" hahahahahaha..

Lovren ni "Pashun Merchant" hahaha

he's a Liverpool fan tangu akiwa mdogo..he loves LFC..

but he's not good enough for us..i think akiwa 3rd choice CB itakuwa poa sana..
 
tunahitaji kuwekeza kwenye kiungo kama tunahitaji kuwa dominant team again.
Haswaa..... mimi pale kikosini hendo na milner wakiwa uwanjan kikosi huwa sikiamini kabisa. ...Tangu lini England ikawa na kiungo wa kuongoza kikosi kikubwa kama cha Liver. ..eti captain msaidiz ni Milner ....waingreza banal. .!!!
Yaan England nawakubar Sturridge, Chamberlin, na kidogo Vardy sema hao wawili ni spana mkononi muda wowote pancha. .
 
Mkuu Wewe Ni Mwanasport! Hivi Huna Taarifa Kuwa Klopp Anatafuta Mbadala Wake (Defensive Midfielder)?
Hebu Jaribu Kuperuzi Official Website Ya Liverpool Kila Mara Uone Klopp Anavyotafuta Kiungo Wa Kumreplace Hende....
Sasa Unadhani Kama Anatimiza Majukumu Yake Kwanini Klopp Analia Na Kina Dahoud?
Duuuh afadhari. ...sema Liverpool huwa kwenye ucaptain wanataka awe mzawa,,, sasa sijui kopp atabadil??...maana england haina kiungo wa kuibeba timu kubwa kama liver. ..
 
Hendo HAENDI popote na ataendelea kuwa Captain wetu for years!Lawama mnazo npa Hendo hapa hazimhusu na mchezaji hapimwi kwa mechi moja au mbili
Hata the SG The Greatest kuna games alikuwa anachekesha hadi wanamtoa na hiyo ni kawaida
Ni ngumu kumpata kiungo mwenye composure kama Hendo kwa sasa!Hendo is right player to lead our squad.
Period
 
Umenifanya nikaitafute hii pic against Everton ... truthfully huwa tukifunga goli wakati wa ushangiliaji huwa namtafuta kwanza Lovren.

Akifanyaga yale makosa yake ya kijinga huwa anajitahidi kuya-cover kwa kila hali na akifanikiwa huwa ana-passion moja good sana.

5b9542781f912473fca144707a950a37.jpg
Sijajua ni kwa nini klopp anashindwa kumwamini Lucas acheze kama central defender Ashirikiane Klavaran. Ki ukweli Lucas ni mzuri kuliko Lovren. Milner yeye kwa maoni yangu amefit kucheza nafasi anayocheza kwa sasa. Kwa pale epl mtu ambaye anacheza (wingback) upande wa kushoto na yupo juu kumzidi ni Dan Rose wa spurs na Marcos Alonso wa Chelsea. Mimi sijaona tatizo lolote kwa milner.
 
Duuuh afadhari. ...sema Liverpool huwa kwenye ucaptain wanataka awe mzawa,,, sasa sijui kopp atabadil??...maana england haina kiungo wa kuibeba timu kubwa kama liver. ..
Liverpool ni mid table team kama zilivo everton, Southampton, spurs, stoke city ilikua timu kubwa zamani acheni kujidanganya na historia.
 
Sometimes Lucas,Gigi,can,Stewart, lallana wanaliwa fiti but Henderson hakosi namba unadhani Klopp huwa kaona nini mpk anampa namba. We know nothing. Henderson Ana vitu vyake ambavyo Klopp anaviona so msubiri . ofcoz kwa leadership sijapenda kumuona akiwa our captain. Tungepata Scouse mmoja sema ndio hvy Flanno yuko kwa MKOPO, Alexander anord bado dogo. Captain akiwa Scouse anakuwa anavuja jasho lote uwanjani
 
Liverpool will step up their bid to land Dutch winger Quincy Promes in Jan, after missing out on number one target Draxler. [David Maddock]
 
Another Disappointing Kwa Karius!! Goal.com Wamemueka The Most Flop ShootStopper of Europe (Worst Team of Europe)!! Azidishe Mazoezi na Aresists Pressure Ya Media na Mashabiki....

Karius.jpg
 
Roberto Firmino has been charged with drink driving and will appear in Liverpool Magistrates court on Jan 31st, same day we play Chelsea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom