Excellent.!!! mkuu pamoja.....YNWAMkuu Liverpool siyo timu wala club bali ni culture.
Hakuna anayefanya maamuzi ya kushabikia Liverpool maana ni lazima kushabikia Liverpool.
Hata hawa haters, deep down ni die hard fans wa Liverpool ndo maana hawakauki kwenye huu uzi.
Kwa maana Liverpool ni utamaduni, nami nimeishi kwenye utamaduni huo tangu nikiwa mtoto mdogo kabisa.
Y.....................................N...............................................W........................................A
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] katika wachezaji 10 wanaojadili wanunuliwe anakuja mmoja tu.
Hakuna mchezaji anaetaka kucheza makumbusho
Stoke cityWho's next????????
Kila mtu anakimbia kunyolewa ahah. But gemu leo ilinitia shaka toka asbh. Derby ya leo sikuwa na imani ya ushindi nilitegemea droo tu.Who's next????????
Kila mtu anakimbia kunyolewa ahah. But gemu leo ilinitia shaka toka asbh. Derby ya leo sikuwa na imani ya ushindi nilitegemea droo tu.
Stoke city
Kweli YNWA. Nawaza hiintimu harafu tungekuwa na mpachika magoli wa ukweli kama Suarez hivi si tungekuwa tushawaacha watu point 15 behind.Wala sikuwa Na wasiwasi na long ball team
Ynwa
Kwani hukumuona zile DK za msalie Mtume? naona Wenye chuki hawajaongelea Barkleys angepewa Red Card walisubiri iwe upande wetu tehteh! Leo Lovren Manofthematch ubavu ule Lovren anacheza kwa kutulia kuliko kushoto, Raha sana kuwafunga Watani sababu hawa Watani wetu wanashindana na wale wapinzani wetu Manure, Manure upinzani hakuna wacha washindane na Everton tu. Beki leo zilitulia.Hivi Sturridge bado mgonjwa ama?
Anfield Home sweet Home!Kwao Ama kwetu?