So hata kama akija Valdes,De gea,Czech or the likes ataishia kuwa ruined na huyo kocha wa makipa?Yani kama kipa tayari hana udhaifu wa kucheza crosses akija liverpool atakuwa hawezi cheza crosses?
Mimi nadhani pia makipa tunaokuwa nao ni tatizo.Tunahitaji kipa mkubwa proven kuweza kurudia era yetu.Sio talented one with potential to improve ambaye anategemea ataambiwa nini na kocha wa makipa afuate tu kama kondoo.Yaani yeye yupo empty kabisa hana individual skills.
Sioni kuwa ili muwe na kipa mzuri ni lazima muwe na kocha mzuri wa makipa.Oliver Khan,Ochoa,Smeichel and such great golie sidhani walihitaji kocha mzuri wa makipa kuwa kama walivyokuwa.
sidhan kama kuna shabiki yoyote yule wa football duniani ambaye haujui umuhimu wa GK's Coaches katika game. Sorry bro lakini sikuitegemea aina hii ya post kutoka kwako.
its very clear kuwa Pepe Reina started to struggle baada ya Archterberg kuja LFC, mwaka 2009, from there mpaka Reina anakuja kuondoka LFC, alikuwa kishaisha vibaya mno. Sidhani kama kuna LFC fan ambaye halijui hili.
We paid £11m for Mignolet, hicho ni kiasi kikubwa sana kwa keeper, but tulimchukua kwasababu kukeep clean sheets kwake ilikuwa ni kawaida, tena akiwa katika shit team, Mignolet alikuwa ni keeper mzuri, wapenzi wengi wa EPL watanisaidia kwa hili. But kaja LFC, mwezi mmoja tu baada ya kutrain na Achterberg, Migs akaanza kufanya silly mistakes, kikubwa kilikuwa ni kushindwa kufuata mipira pale inapobidi. Mpaka leo hii, he's not the same keeper ambaye tulikuwa tunamjua.
i knew Karius, na hata kama kuna LFC fans yoyote ambaye anaijua Bundesliga atakwambia kuhusu Lloris Karius, he's decent, good goalie, watu mnao mslate jamaa yawezekana hamjawahi kumuona akicheza kabla.
umemuongelea De Gea hapo, and sadly hujui ni nani ambaye kamfanya De Gea awe hivyo, De Gea tangu yupo ATM alikuwa anafundishwa na Best Coaches, De Gea kapita kwenye mikono ya Emilio Alvarez, De Gea kafundishwa na ERIC STEELE (One of the Best GK's Coach the world has ever seen), Eric Steele ndio kawafundisha kina Peter Schmeicel na Edwin Van Der Sir (unafikiri De Gea kawa vile kwasababu ya talent tu?), kipindi cha Van Gaal tulikuwa kila siku tunaongea humu kuwa De Gea anaiokoa sana Man utd (De Gea alikuwa kwenye peak kubwa sana kwenye reign ya Van Gaal) but unajua nani alikuwa nyuma ya De Gea? Ni FRANK HOEK, nani asiyeijua kazi ya huyu jamaa katika coaching ya GK's? Huwez kuwa garbage kama umepita kwenye mikono ya watu hawa.
Petr Cech ataongelea vipi ubora wake bila kumtaja Lollichon? (he made Petr Cech)
Au huyo Oliver Kahn ataongelea vipi career yake bila kumtaja Andreas Koepke? Atawezaje kumuacha huyu jamaa??
hawa wote ni one of greatest GK's Coaches, na ndio wamewafanya hawa keepers kuwa hivi tunavyowaona.
Keeper lazima ucheze kwa instructions, keeper anafundishwa Positioning, Catching, diving, Footwork, playing crosses, reading the movements kutokea kwenye half ya mpinzani, kukaa kwenye line when it matters, Commanding, playing 1 to 1 (one of De Gea's best strength, every GK ambaye kafundishwa na Eric Steele hii ni moja ya strength yake) etc, its not just a talent. And ukiangalia kwa umakini utajua kuwa Mignolet ni very good Shot-stopper but siyo good Goalkeeper, Goalkeeping inahitaji vitu vingi, na ndo maana kukawa na Coaches.
kwenye football kuna positions TANO ambazo ni lazima ucheze kwa instructions (GK, LCB, RCB, LB, RB, DM) coz these positions are the base of the team.
You dont need a rocket science to know that Archterberg is responsible for Liverpool's Goalkeeping disaster.
and we should learn to SEE the Game, not just WATCH it.