Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,103
- 1,910
Tumepangiwa Leeds United quarter final.Njia nyeupe nusu fainali EFL.
LFC na Palace game itakuwa ngumu Tusipoangalia itaisha 1-1, LFC kwenye Ubingwa kwa Maoni yangu Binfsi kiubingwa bado labda mkiniuliza March or April ikifika ila Manchester City au Totenham ndio nafikiri wanayo nafasi ya ubingwa. LFC top 4 asilimia 100 wata kuwepo. LFC vs Palace naomba 3point hata goli lamkono.
Kwa kikosi chetu kilivyo sahivi me naona point 3 tunazo mkononi tayari, Lets be patient and wait the game.
Milner doubt vs Palace even he trained yesterday
Mi naombea tuwapige 7Kwa sasa goal difference ni muhimu sana...kama ni kumuua huyu Crystal Palace, tunatakiwa kuua kwa magoli ya kutosha!