Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Crystal palace tutawafunga kwao kwa kuwa wanacheza mpira wa kufunguka.Watakuja sana golini kwetu kutaka kufunga na kuondoka ns poit zote following their recent results.Kasi yetu itatusaidia kuwafunga kwa transition.

Benteke ndio anaweza kutufunga lakini goli lake litakuwa la kufutia machozi.Point tatu zote tutazichukua ukizingatia hakuna internatinal break hapo katikati
 

hata mimi nayaona magoli mengi sana kwenye hii mechi.
 

Kama Utakuwa Aware Mwanzoni Mwa Msimu Michael Owen Alilikoroga Zaidi Kwa Washabiki Wa Liverpool Baada Ya Kuandika Katika Ukurasa Wake Wa Twitter Kuwa Man United Ndiye Atakae Kuwa Bingwa Wa Msimu Huu!
Kiukweli Hata Mimi Sikupenda Na Nilimreply Kwa Hasira Kabisa... Na Mashabiki Wengi Walihoji ni Nani Aliyepeleka Proposal La MO kuteuliwa Kuwa Balozi Wa Liverpool (May be Asia)...
 


Owen ni pundit kwasasa, unapofanya kazi kama pundit ni lazima uwe neutral, leo unamuona Gary Neville ambaye wakat anacheza mpira kuja Anfield ilikuwa kama anakuja msibani, ni mchezaji aliyekuwa anapata sticks sana Anfield. But kwenye kazi yake ya sasa yupo neutral, mara kibao amekuwa akiisifania LFC na kuipa chapuo la ubingwa na top four.

Utd signed zlatan, Pogba and Mkhitaryan. Hata mimi kwq hizo signings tu nilikuwa najua huu msimu watakuwa na mafanikio zaidi. Na ndo kitu ambacho hata Owen alikidhania pia. Team ambayo inatoa £89m for a player ni lazma ipewe chapuo la ubingwa.
 
you got to be kidding me
 

Strange days!
Even Paul Scholes is amused by the brand of football that LFC are playing this season
Ynwa
 
Kilichomzuru Benitez na LVG ndiyo Kinachomzuru Gurdiola...

Last Month Katika Press Conference ya Pre-match Nilimsikia Gurdiola Akiwaambia Waandishi Wa Habari Kuwa "LIGI KUU YA UINGEREZA NI LIGI NYEPESI SANA UKILINGANISHA NA YA SPAIN & BUNDESLIGA"

Tokea Aitoe Kauli Hiyo Alianza Kusuasua mpaka Kufikia Hii leo... Sasa Kinachomzuru Ni Kama Kilichowazuru RB na LVG kuto kukubali Ukweli Kuwa Ligi Kuu ya Uingereza Ni Tofauti Kabisa na Ligi Nyengine Barani Ulaya... Ni lazima Kocha Abadilike Na Aendane Na Mfumo Halisi Wa Ligi Husika! Venginevyo Utageuzwa Jamvi...

Ni Wazi Kuwa Gurdiola Anaoneshwa Uhalisia Wa Ligi Ulivyo... Na Akumbuke Kuwa Kuna Liverpool, Chelsea na Arsenal Wote Wanamsubiri Wamuoneshe ligi inavyochezwa...
Thanks Sanderland...
 
Tukimpiga race kama ile tuliyompiga Chelsea lazima atuachie 3 au 4.

Analeta ubarcelona EPL?....mapema kabisa kashasahau kusheherekea ushindi.

Droo ya leo inatuweka sehemu nzuri, hata sisi tupo juu na matumaini ya kuongoza ligi yapo.

Siyo sawa na misimu ya njaa, mida kama hii tupo nafasi ya 7 au 8.

Y......................................N............................................W...........................................A
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…