Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Everton midtable team wenzenu wamejikalia kimya maana wanajua nafasi waliopo sio yao soon wanaenda kwenye nafasi yao, cha ajabu eti kikongwe aliekaa miaka 20+ bila mtoto hatimae ana matumaini ya kupata mtoto [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maajabu hayaishi
 
When you are waiting for him to put on a condom [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vikongwe wa historia, na Liverpool ndio timu pekee inayojiita timu kubwa wakati haijawahi chukua premier league[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Karamoko dembele kazaliwa 2013 ila anaujua mpira kuliko we kikongwe ulieanza kuangalia mpira enzi EPL inaitwa first division [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Liverpool=jiji la makumbusho
 
Wana Kops Munalofanya Sio Sahihi!!! Haiwezakani Anatokea Mtu fron Nowhere Anajifanya Analifahamu Hili Jukwaa Wakati Kaanza Kulitambua Jukwaa Baada Ya Mechi Ya Liver v/s Man U halafu Mukaanza Kubishana Nae!!
Hebu Mpotezeeni Muone Ataanza Kujishtukizia Mwenyewe Kuwa yeye ni Boya tu Na He Know Nothing About Kopites!
Long live Jurgen Klopp....
 

Jamiiforums ya Kati Ya 2006 - 2009 ilikuwa makini sana yaani mtu akileta ujinga wake watu wankupotezea kwa kutokujibu chochote na mwisho wa siku unajistukia na kupotea.
Same rule applies here at the Kop
Mpotezeeni mdandiaji yoyote wala msimjibu
 
Nimependa comfidence ya Karius",..!!
Kingine ni kama waliotanguia walivyosema akija wakutokea huko na comment za ki soudy brown",.. Ni kukaushiwa tyu bila comment yoyote ile.
 
Nimependa comfidence ya Karius",..!!
Kingine ni kama waliotanguia walivyosema akija wakutokea huko na comment za ki soudy brown",.. Ni kukaushiwa tyu bila comment yoyote ile.

Upo Sawa! Kwasasa Hatutakuwa Tunajibu au KuQuote Comments Za Mtu ambaye Anavamia tu Jukwaa From Nowhere akajifanya Kutujua! Tutakao WaQuote Ni Wale Wapinzani Kama everlenk Ambao Wapo Active Katika Replies Zenye Ku-make Sense... Na Wanafahamika Kwenye Majukwaa Yao..
 
Hili linaitwa jiwe la gizani, ukisikia kwiiiiiiiiii ujue limempata

makumbusho fc
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…