Naona tunaenda mbele na kurudi nyuma,
1.Mourinho big match zote hasa away huwa anacheza defence,msimu wa mwisho kuchukua ubingwa Chelsea against United game zote approach ilikuwa hiyo hiyo akapata droo OT,akashinda Stamford Bridge Hazard akafunga goli la ushindi.Jose akicheza na Sunderland,Stoke,Newcastle hapaki bus na ndio maana alikuwa anafungwa na timu ndogo (hii approach hawezi badilisha) ni sawa kumwambia Wenger aache kucheza sex football ni imposible
2.Bodi ya Chelsea na Emenalo walichemsha sana kwenye usajili Jose huwa anafanya usajili mapema alimtaka Stones akamkosa Terry na Cahill wameshachoka na kuumia kwa Zouma ikawa balaa zaidi.Msimu huu Conte alitaka kuwasajili Bonucci,Koulibally,Naingollan na Morata na wote hao kawakosa (Cahill,Luiz,Fabregas) sio aina ya wachezaji anaowataka.
Conte kama hatapata wachezaji anaowahitaji naye atachemsha
2.Real Madrid kuna tatizo la wachezaji kujiona wakubwa kuliko kocha hata Anceloti/Benitez yamewakuta,now Zidane anavyofanya rotation yamemkuta(CR7,Isco,James) sema Zizou ni kipenzi cha Perez ndio kinachomsaidia
3.Nilishasema hakuna kocha ambaye ataweza kuziba pengo la SAF so i understand kelele za mashabiki na kibaya zaidi opponent wameimarika sana hata SAF angekuwepo now angepata shida.
4.Sidhani kama tatizo la Pogba ni Jose,tangu Euro Pogba hayupo kwenye form hadi leo kule France anacheza na Kante/Sissoko/Matuidi/ still bado anachemsha.Game ya jana Pogba alikuwa anarelax sana utafikiri yuko mwenyewe uwanjani anapoteza sana mipira Fellaini na Herrera wanaonekana bora kuliko Pogba
Tofautisha kati ya defensive tacticts na kupark bus mkuu. Ni vitu viwili tofauti.
Simeone, Conte, Koeman, Jupp heynckes, Jorge Sampaoli etc, hawa wote ni defensive minded managers. Strength yao kubwa ipo katika kudefend, it means siri ya ushindi wao ni nidhamu katika kiungo, thats why when Conte alivyofika England kitu cha kwanza alichofanya ni kumnunua Kante, the same kwa Koeman ambaye alivyotoka southampton kwenda Everton, alihakikisha anam-nunua Gueye. This means, set up ya team zao ni kwenye kiungo, but huwez kuona hawa managers wakipark bus, na kupark bus siyo tacticts, huwez kuita hiyo ni mbinu ya mchezo, kuchezesha wachezaji 7-8 nyuma ya mpira, huyo siyo tactic bali ni "kupark bus"..chelsea walikuwa branded kama "wapark bus" kwasababu ya set-up ya Mourinho. But mara ya pili alivyorud Chelsea, hakuwa na hiyo falsafa ya kupark bus..japokuwa kuna baadhi ya games alicheza kwa aina hiyo, kwenye game yetu ya Anfield ambayo alitupiga 2-0..hakupark bus, he was just defending deep (kuna utofauti hapo). Ukiwa unadefend deep, it means unakuwa unaruhusu Wings zako zilete madhara kwa opponents pale unapopata mpira kutoka kwa adui. Mourinho hakuwa na falsafa ya kupark bus alivyorudi chelsea kwa mara ya pili, nakumbuka stats za kucreate chances zilikuwa zinawafavor chelsea, huwez kuwa na hizo stats kama unapark bus. Tangu Mou arudi England, na game zote alizocheza na LFC, ni ya jana tu ndo alipark bus. Na thats because alikuja Anfield kwa kutafuta draw, akiogopa kupoteza. Hiyo ni weak mentality. You cant be spending £200m na kuja Anfield kucheza kama West brom. Whats the use of having Pogba, Zlatan, MK na Rashford?
Mourinho left chelsea kwasababu alifail kufundisha Football. Last season chelsea had a bad season kuliko LFC but ukweli ni kwamba Chelsea walikuwa na kikosi kizuri kuliko LFC. Suala la kufail katika signings ni PR za kambi ya Mourinho. Conte mpaka anamchukua David Luiz alikuwa kazimiss targets zake zote 3 katika upande wa CB. Kwasasa anacheza Luiz-Cahill na humuoni akicomplain. Mourinho failed at chelsea coz he tried to play football, he tried to be Pep/Ancelotti. Kama unasema Mou bado anapark bus baadhi ya game, basi hiyo inamaanisha kwamba parking the bus imekuwa ni options tu kwake. Back in the days Mourinho parked the bus against the likes of West ham, Fulham etc
Again Mourinho failed at Madrid kwasababu ya falsafa yake. Just kwasababu Clubs zingine kuna wachezaji hawakuwa na balls za kumwambia ubovu wa falsafa, hiyo haiwez kuwafanya wachezaji wa team kubwa duniani kushindwa kumwambia, wanalipwa a lot of Money to play football, unapolimit game plan yao lazma waongee. And Perez hanaga Rafiki, Zidane akipotea games 3-4 anapigwa chini, Maisha yanaendelea.
Delle Ali, Lallana, Kyle Walker, Nolito, Mustafi, Koke, Rakitic etc failed to impress kwenye euros, but wanafanya vizuri kwenye clubs zao. Unapotoa £89m kwa mchezaji it means umeshaexcute game plan yake, na unataka a-add nini kwenye team yako, me labda nitakuwa kipofu but mpaka sasa sijaona role maalum ya Pogba kwenye team. We all know uwezo wa Pogba Mkuu. But he's failing. Gotta admit wachezaji wote mliosign summer, Bailly nilijua ataflop, be he's settling well. Kwann isiwe kwa one of the talented young players kama Pogba? Jibu ni kwamba you dont play him kulingana na strength yake. Mchezaji wa £89m unatakiwa ubuild a team around him, but Mou anafail kwenye hilo.