Wamevurugwa hao dada angu hataa sihangaiki nao, walivowatandika wale arsenal na Chelsea basi wakatuona sisi ni underdog, tunaondoka na point moja juanfield wanaanza kulia lia.
Mbona unawakana wenzio mkuu, kopites, kuna yule anaependa kubold waulize huwa wanashinda wapiKawaida Ya the real Koppites hawana kiherehere cha kwenda majukwaa yenu
Karibuni sana Hapa the Kop
Relax!!! Siyo ugomvi, mbona mkija kule huwa tunakubali vichambo vyenu .... kama vile cha mechi nne tulikubali yote,draw tu inataka kukutoa roho ? Relax football ni friendship.......
Wamevurugwa hao dada angu hataa sihangaiki nao, walivowatandika wale arsenal na Chelsea basi wakatuona sisi ni underdog, tunaondoka na point moja juanfield wanaanza kulia lia.
you are a loser and you will always be
Mbona unawakana wenzio mkuu, kopites, kuna yule anaependa kubold waulize huwa wanashinda wapi
Hahahaha jamaa wanafurahisha sana.
Hahahaha jamaa wanafurahisha sana.
Naona wengine wamekubali kuwa "mziki" wako sio mkali, wanakuambia tutaona "chamoto" wiki ijayo dhidi ya Chelsea. Yaani kiana fulani wanasema ni timu yao haina uwezo wa kuifunga UTD (which is true)
Saaa wanatuonea wivu ku spend hela nyingi..... hela kwani kazi yake nini? Ila inabidi kwanza uwe nazo... kama UTD vile
Kama nyie ni wazuri kwanini mlazimishwe kucheza game tunayoitaka? Sisi ndo tulitaka iwe hivyo na imekuwa , Tuangalie kwenye vitu real short on target,short off target, corners hamna la ajabu mlilofanya. ...Hata Ukiangalia Uwezo Wa Kupiga Passi ni Kiverpool 623 (Ambazo 81% zimekamilika) na kwa Man U ni 344 (Ambazo Zilizokamilika ni 76%)...
Poor Man U bus-Parking shit.....
View attachment 419940
Wamevurugwa hao dada angu hataa sihangaiki nao, walivowatandika wale arsenal na Chelsea basi wakatuona sisi ni underdog, tunaondoka na point moja juanfield wanaanza kulia lia.
you are a loser and you will always be
Mbona unawakana wenzio mkuu, kopites, kuna yule anaependa kubold waulize huwa wanashinda wapi
Kama nyie ni wazuri kwanini mlazimishwe kucheza game tunayoitaka? Sisi ndo tulitaka iwe hivyo na imekuwa , Tuangalie kwenye vitu real short on target,short off target, corners hamna la ajabu mlilofanya. ... View attachment 419941...
Only this season under Mou style!!!! Sikuwahi Kuona Man U wakishangiria Draw Wanapokutana Na Liverpool isipokuwa Msimu Huu....
Ni wazi Kuwa Siku Zote Timu isiyo na nafasi Draw Kwake ni Ushindi... Kwahiyo Mulishaona Kuwa Hamna Nafasi Yoyote Ya Mafanikio Katika Msimu Huu That is why Munajishaua Na Draw...
Sidhani Kama True red devils wanaweza Kusherehekea Draw dhidi ya Liverpool... labda Nyinyi Poor ManU-Fanboys Ndiyo Mutaonesha Ushabiki Maandazi Wa Kufurahia Sare.
Mimi kiukweli sifurahii ushindi ila nyie mmenipa Furaha nimejikuta nimesahau machungu yote ya game,yaani nacheka ni kwa jinsi gani mlivyojihakikishia ushindi yaani mkatudharau hivyo mkaona kama mnaenda kucheza na Ndanda aiseee yaani hapo tu ndo pananipa Furaha jinsi gani mlivyopanga matokeo !!! Aiseeee!!!!Only this season under Mou style!!!! Sikuwahi Kuona Man U wakishangiria Draw Wanapokutana Na Liverpool isipokuwa Msimu Huu....
Ni wazi Kuwa Siku Zote Timu isiyo na nafasi Draw Kwake ni Ushindi... Kwahiyo Mulishaona Kuwa Hamna Nafasi Yoyote Ya Mafanikio Katika Msimu Huu That is why Munajishaua Na Draw...
Sidhani Kama True red devils wanaweza Kusherehekea Draw dhidi ya Liverpool... labda Nyinyi Poor ManU-Fanboys Ndiyo Mutaonesha Ushabiki Maandazi Wa Kufurahia Sare.
Yaani umepaona hapo kwamba wametukabidhi kwa Chelsea atufunge [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamekubali wao ni dhaifu !!!!!Hahahaha jamaa wanafurahisha sana.
Naona wengine wamekubali kuwa "mziki" wako sio mkali, wanakuambia tutaona "chamoto" wiki ijayo dhidi ya Chelsea. Yaani kiana fulani wanasema ni timu yao haina uwezo wa kuifunga UTD (which is true)
Saaa wanatuonea wivu ku spend hela nyingi..... hela kwani kazi yake nini? Ila inabidi kwanza uwe nazo... kama UTD vile
Kama nyie ni wazuri kwanini mlazimishwe kucheza game tunayoitaka? Sisi ndo tulitaka iwe hivyo na imekuwa , Tuangalie kwenye vitu real short on target,short off target, corners hamna la ajabu mlilofanya. ... View attachment 419941...
Mimi kiukweli sifurahii ushindi ila nyie mmenipa Furaha nimejikuta nimesahau machungu yote ya game,yaani nacheka ni kwa jinsi gani mlivyojihakikishia ushindi yaani mkatudharau hivyo mkaona kama mnaenda kucheza na Ndanda aiseee yaani hapo tu ndo pananipa Furaha jinsi gani mlivyopanga matokeo !!! Aiseeee!!!!
Lol ulishangilia droo na WB as if ndio umechukua EPL, leo hii Manchester kufurahia droo kwako ishakua nongwaOnly this season under Mou style!!!! Sikuwahi Kuona Man U wakishangiria Draw Wanapokutana Na Liverpool isipokuwa Msimu Huu....
Ni wazi Kuwa Siku Zote Timu isiyo na nafasi Draw Kwake ni Ushindi... Kwahiyo Mulishaona Kuwa Hamna Nafasi Yoyote Ya Mafanikio Katika Msimu Huu That is why Munajishaua Na Draw...
Sidhani Kama True red devils wanaweza Kusherehekea Draw dhidi ya Liverpool... labda Nyinyi Poor ManU-Fanboys Ndiyo Mutaonesha Ushabiki Maandazi Wa Kufurahia Sare.
Yaani mmefurahi sana kutoa droo Anfield...!Hahahaha jamaa wanafurahisha sana.
Naona wengine wamekubali kuwa "mziki" wako sio mkali, wanakuambia tutaona "chamoto" wiki ijayo dhidi ya Chelsea. Yaani kiana fulani wanasema ni timu yao haina uwezo wa kuifunga UTD (which is true)
Saaa wanatuonea wivu ku spend hela nyingi..... hela kwani kazi yake nini? Ila inabidi kwanza uwe nazo... kama UTD vile
Kushangilia draw says a lot
It's a step in the wrong direction
Just like Paul Scholes mentioned earlier today
Lol ulishangilia droo na WB as if ndio umechukua EPL, leo hii Manchester kufurahia droo kwako ishakua nongwa
Sawa baba relax!!....... true hamna cha ajabu Kwani Uongo? Unanikumbusha zile Enzi Zetu za LVG jinsi tulivyokuwa tunamiliki mpira na pasi kibao lakini hakuna kitu..... mlikuwa mnatuchamba weee Leo imegeuka kwenu imekuwa ball possession na pass nyingi ni deal !!! Gudi gudi endeleeeni kumiliki mpka mfikishe ball possession ya 80% na pass 20000000 [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kama Mpaka Hapo Bado Hujaona Cha Ajabu Basi Kaanze Kufatilia Mpira Wa Mchangani Wa Kina Mbao FC na KMKM...
Only You ara Leading Kwa Shots Off Target , Offsides and Fouls! Don't You See You Humiliating Yourself For Uploading that ScreenShot?
Only Crazy people would be proud for being top for the Above Performance.. (Shots off target, Offsides and Fouls