Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Antoine Griezman
Hahahahaha herrera njoo unisaidie kucheka humu.......View attachment 419932
Nilijua Mapema Mimi Kuwa Mourinho Ni Lazima Atakuja Na Style Yake Hii..... Na Ndiyomaana Nimeumizwa Sana Na Draw Ya Leo Lakini Sishangai Kwanini Tumetoka Draw! Wakabaji 6 kwa Mshambuliaji Mmoja!!!!! Even Messi Asingeliweza Kuscore Gemu Ya Leo....
Tukija OT tunawachakaza...Jamani unanisikitisha sana nasoma comment zako hadi machozi yananilenga usisikitike hivyo babaaa!!!..... tatizo mliingia na matokeo uwanjani mkasahau mpira ni dakika 90!!!...... Pole sana ila ukija OT sitakuhurumia,Asante kwa kunifadhili Anfield[emoji23] [emoji41]
Aiseeeee kwani Chelsea ana nini cha ziada ambacho nyie hamna mpka umpe marks hivyooo ?. ....... tukutane next week ......Lazima leo Mufurahi Coz Mechi Yenu inayofata Mungu Anajua Kitakachotokea! Sisi Hatukufurahi Leo, Lakini Tutafurahi Kwa Gemu Yenu inayifata Kwa Kile Kitakachowatokezea...
Sisi tunakwenda Kujililia Papai Kwa Kijiko WBA next game....
Tukija OT tunawachakaza...
Wanapigania top 8!Hao hata top 4 mwaka huu ni majaliwa mkuu
Wala usijisumbue kubishana nao
Utapoteza muda wako bureeeer
Aiseeeee kwani Chelsea ana nini cha ziada ambacho nyie hamna mpka umpe marks hivyooo ?. ....... tukutane next week ......
Hahahahaha Nzi Belo herrera DON Donald njoooni huku jamani....... Leo mtaongea yote mlianza na refa,Refa kawaprove wrong .....Leo tumetumia kitu cha £200m kupark bus[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] football raha sana......Jamaa wamespend £200m ili kuja tu kupark bus Anfield.
£200m just to play that horrible football.
Yaani sisi draw inatuuma nyie mnashangilia...huo kwenu ni ushindi!GGMU
Mlidhani mnaenda kucheza Na JKT ruvu ya Masau bwile hahahaha that's EPL guys never get twisted
GGMU
Sisi hatutaki usuper star, sisi tunakamua as a team...full metal football!Hope wote tulikuwa weupeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,aiseee usuper star mmeuanza lini?
Stoke united sio, mashabiki wao siwalikuwa wanasema Chelsea kazi yao kuweka Bus, oh Morinho kazi kuweka Bus sasa Leo wamevaa jezi Blue kakumbukia kaweka Bus na Mashabiki wao hao hao leo wamemsifu kitu walichokuwa wakimponda kwa wengine.35% - Man Utd recorded just 35% possession against Liverpool; their lowest figure in a PL game in Opta's records (2003-present). Passive.
Baada ya shuruti",...
Mimi sijajisifu ,nimesema hivyo maana mmeshampa ushindi Chelsea kwamba atatufunga ndo nawauliza Chelsea ana nini cha ziada ambacho ninyi hamna mpka atufunge?Ninyi mna nini Cha ziada? Labda kuuza jezi
Wana watumishi hewa wengi...Jamaa wamespend £200m ili kuja tu kupark bus Anfield.
£200m just to play that horrible football.
Relax!!! Siyo ugomvi, mbona mkija kule huwa tunakubali vichambo vyenu .... kama vile cha mechi nne tulikubali yote,draw tu inataka kukutoa roho ? Relax football ni friendship.......Kawaida Ya the real Koppites hawana kiherehere cha kwenda majukwaa yenu
Karibuni sana Hapa the Kop
Sawaaa !!!Sisi hatutaki usuper star, sisi tunakamua as a team...full metal football!
35% - Man Utd recorded just 35% possession against Liverpool; their lowest figure in a PL game in Opta's records (2003-present). Passive.
Ni mbinu ya kushinda ......Hata bao la mkono sometime linatumika...Baada ya shuruti",...
na style play yenu ndio ilifanya ashindwe cha kufanya",...!!
somehow kajitahidi",...!!