SOMA HIYO LINK, FA WASHAFANYA YAO KAMA SIMBA NA YANGAMbona mnalia lia humu ndani kwii kwiiii kwiiii
View attachment 417005 Liverpool will wear 'Seeing is Believing' shirts against Man United to promote World Sight Day.
Liverpool ina record nzuri tukivaa see is believing..... So sina wasiwasi....shetani kafa j3View attachment 417005 Liverpool will wear 'Seeing is Believing' shirts against Man United to promote World Sight Day.
Good news mashetani wanatetemekaWijnaldum & Lallana are "not ruled out" despite injury
Clyne & Lovren are "in the race"
Also 'dogo' Gomez is back in training
Any updates for Wijnaldum and Lovren?
inawezekana ikawa ni mind game sababu wali train Melowood ama ikawa kweli",...Updates Ni Kuwa JK alipoulizwa Katika Press Conference Hakutoa Jibu la Moja Kwa Moja Kuwa Watakaua Fiti au Hawatakuwa! Bali Alisema Wasubiriwe Zaidi Kuliko Kuwarisk..
Ni lovren Na Clyne tu Ndiyo Aliothibitisha Kuwa Watakuwa fiti...
For my Guess Nahisi Lallana na Gini Kesho Kupatikana ni Doubtful..
Kwenye LFC live feed nimeona wame-confirm Lallana & Gini = OUT while Ćlyne & Lovren = IN.Any updates for Wijnaldum and Lovren?