SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Balotelli to Nice
Huyu Mario ni pasua kichwa
Balotelli to Nice
Sizani kama kuna jipya JK ameumizwa sana kwa kumkosa Dahood kaamua kuahirisha kilakitu naonaDeadline deals ndiyo masaa yake haya mpaka 23:59 GMT...ngoja tuone nini kitatokea
yaaaaani Hanna dalili yoyte na new signing yeyote.Hivi Klopp ana mpango wa leftback kweli auameamua kufa kiume?
Hahaahaa au Lucas na Gomez ataziita new signings toka majeruhi?yaaaaani Hanna dalili yoyte na new signing yeyote.
labda atawapa maji ya upako.. tusubiri yetu macho
YNWA
yaaaaani Hanna dalili yoyte na new signing yeyote.
labda atawapa maji ya upako.. tusubiri yetu macho
YNWA
Wandugu humu kwetu usajili vepeeeeee kuna mpya?
Caulker alirudi QPR siku nyingi sana!lazar markovic to sporting Lisbon on Loan
Wisdom to Redbull Salzburg on loan
Sijamuona Caulker Kwenye List ya out Sijui kapona
Sadio Mané — £30m
Georginio Wijnaldum — £25m
Loris Karius — £4.8m
Ragnar Klavan — £4.2m
Joël Matip — Free
Alex Manninger — Free Kuhusu TAKE-OVER, tunaweza kusikia updates zingine kuanzia next week.
FSG wants £1.4bn kwaajili ya Full take-over, but Chinese Values us at £800m, and wapo tayar kuinvest hiyo hela LFC..and it seems wamekubali kununua sehem ya LFC, kwa kuinvest hiyo £800m..which is watakuwa ni owners wa LFC kwa kushirikiana na FSG, ambapo slowly wata-TAKE-OVER wakifikia £1.4bn wanayoitaka FSG..kwasasa kama deal likifanikiwa kwenda through..EB watakuwa owners wa LFC but FSG watakuwa bado wana HAKI za umiliki wa LFC (minor)
Reports zinaindicate kuwa mwaka huu hauishi, EB watainvest LFC na kuwa Main owners wa LFC. hence unaweza ukawa umeona kuwa Main stand imefunguliwa BUT hakuna sponsor yeyote aliyepewa deal na for the last 4-5 months tumepart ways na partners na sponsors kibao, hii yote inaonesha kuwa CHINESE TAKE-OVER inakaribia.
Kwenye EPL kwasasa owner tajiri kabisa ni Sheikh Mansour wa Man City (sorry kama itakuumiza but huyu jamaa yeye na kaka yake Sheikh Maktoum wote ni Liverpool fans na walitaka kuinunua Club back in 2008-09, but H+G decided kuwapa deals wamerekani wenzao J.W henry na Werner) lakin once Take over ikikamilika LFC itakuwa na Richest owners in the league.
Utakumbuka FSG bought us for £300m and now they're making SUPER profit as the club is valued at £1.4billion.
Thanks kwa FSG kwa kutuokoa na kina H & G na kutuepusha na Liquidation (i admit, those were the "Dark days")..but its time for them to **** offfff. Hahahaha!!!
Kuhusu TAKE-OVER, tunaweza kusikia updates zingine kuanzia next week.