Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi Tatu 3 mfululizo Tumeshindwa Kuzuia Nyavu Zetu Zisitikiswe!
Ndiyo Tujue Kuwa Pana Tatizo Hapa..
 
Tottenham Hotspur miaka ya karibuni walikuwa ni wateja wetu wazuri tu...sasa naona wameanza kutuzidi!
 
Tottenham Hotspur miaka ya karibuni walikuwa ni wateja wetu wazuri tu...sasa naona wameanza kutuzidi!
Mkuu hapana gemu ya leo bahati imekuwa upande wao tu,kikosi kiko vizuri na jinsi matip alivyocheza mtu kama Lucas akipewa nafasi tunamaliza kazi huu msimu.
 
Points 3 za Burnley ndiyo zinaniuma siyo hizi za leo
Much improved Liverpool team
Tupo vyema sana sasa
Lovren na Matip combination nzuri
Points 4 kuzipata London sio easy jamani
 
No Comment to Officials! ila najua ingekuwa wengine maamuzi yangekubalika LFC YNWA! wasiwasi wangu Sturidge dk za mwisho transfer itakuja pesa ya yeye kuondoka. Klopp najua mtu wa hasira ajifunze mpira siku hizi na hawa Players unaumia Manager ila Players nao waache malalamiko wacheze mpira.
 
Points 3 za Burnley ndiyo zinaniuma siyo hizi za leo
Much improved Liverpool team
Tupo vyema sana sasa
Lovren na Matip combination nzuri
Points 4 kuzipata London sio easy jamani
nakubaliana na wewe kabisaaaaa hizi ndio game timu ukiondoka na point 3 ni very welldone ukiondoka na 1point away ni Good ndomana Burnley tulikasirika sana ni very Poor. 1-1 Away kwa Totenham nzuri ukitegemea silalamiki ila waamuzi wamechemsha.
 
Maamuzi hayakuwa upande wetu
Ndio soka lkn
 
Mimi Mpaka Sasahivi Bado Ninaimani Na Timu Kuwa Itafanya Vizuri, Kikubwa Kinachohitajika Ni Kufanywa Marekebisho tu Kwenye Midfielder Zote 2 ya Juu (CM) na Ya Chini (DM) na Kutafuta LB wa Position Sio Kiraka.
 
Na vile vile Sipendelewi Na Mfumo Wa Kuwafanyia Wachezaji [HASHTAG]#Rotation[/HASHTAG], Ni lazima Timu iwe na Fixed First XI, sio leo Huyu mechi hii akiboronga, Basi mechi ijayo Acheze Mwengine! Na yeye Akiboronga Mechi ijayo Acheze Mwengine!! Hapo Hatutakuwa na Timu ya Ushindani...
 
Kuna rotation gani imefanyika mkuu?
 
Liverpool ni truly a mid-table team. Mnakamia mechi vs timu kubwa mkicheza dhidi ya timu ndogo mnapotea kama meno ya kuku. What's going on?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom