Tusi panic sababu ya kufungwa mecho moja
Na ni vizuri kufungwa mapema kujua udhaifu wetu kabla window haijafungwa
Tatizo la Liverpool sio Moreno kama wengi wanavyo amini
Moreno alikuwa nje tukapigwa bao 2 tayari
JK lzm awe na team mbili
(a)Team ya kwanza icheze na teams ambazo zina press football ambazo Liverpool huwa zinaifunga easily!Wachezaji kama Coutihno,Firmihno,Dan,Lovren, Can,Moreno,Clyne na Mane hawa wacheze dakika 90 na teams kama Spurs,Everton,Soton,Man U,Man City na Leicester
(b)Kuna teams za mitulinga kama vile CP au Burnley au Hull au Chelsea,hizo panga watu wenye manguvu kama Benteke,Origi,Sakho,Matip,Klavan,Baloteli,Hendo,Stewart na are alikes then Mane na Coutihno wanakuwa finishers tu
Lkn kung'angania hata teams zenye manguvu kucheza pressing football tutapata hadi ball possesion 99% lkn tutafungwa!Mpira na Burnley muda wote tunao sisi lkn dakika ya 90 ni 2-0 as a final result