Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Itakuwa saa ngapi kwa hapa?Kesho ndiyo kesho
Kesho ndiyo tutajua tupo wapi
Mechi muhimu sana hii kwetu!!
Mm kwangu itakuwa saa 3 asubuhiItakuwa saa ngapi kwa hapa?
Watakuwa England ama US kama ni england kwa sasa tumepishana nao 2 hoursMm kwangu itakuwa saa 3 asubuhi
Tanzania(assume living there) toa masaa 10
Wembley mkuuWatakuwa England ama US kama ni england kwa sasa tumepishana nao 2 hours
Saa moja na robo jioni itakuwa.....saa 11 na robo EnglandWatakuwa England ama US kama ni england kwa sasa tumepishana nao 2 hours
Sidhani kama kuna tv za bongo zitaonyesha. Ntakupa link muda ukifika.Hiii game yetu na Barca inaoneshwa Kituo gani cha Television hapa nyumbani Tz!?
ipo leo saa moja usiku masaa ya Manzese kwetu!Saa moja na robo jioni itakuwa.....saa 11 na robo England
wapi link mkuu??Sidhani kama kuna tv za bongo zitaonyesha. Ntakupa link muda ukifika.
Match inapigwa Wembley England
asante sanaWataonyesha hapa muda ukifika.
Watch Live Liverpool vs Barcelona
Barca wameku-possess mpiraSo far tupo Ok
Mane 1 Barca 0
Messi katukosa sana