Nakuunga mkono mkuu. Kwa style ya uchezaji ya Klopp Mane anafit sana. He is quick, high work rate, energetic, and has a good footwork too. He will be a success kwa mtazamo wangu.Mie Nashangaa sana Mnaosema Saido Mane hafai jamaa kwa Maoni yangu mZuri sana kushinda Mario Gotze angekuwa Mzungu mngebabaika, Mane ni Good Player ila Zielinski Hapana Bora Mahmoud Dahoud mie Klopp namuamini hata July haijaisha ni mwanzo mie Im so Happy with Mane.
Ooh faida nyingine afadhali ataacha kutufunga sasa
Kama atapewa muda wa kutosha kikosi cha kwanza, 2017 ananyakua uchezaji bora Afrika...take my wordsDah, nisiyemtaka kaja! Kwa sababu atavaa jezi ya Liver itabidi nimuunge mkono tu, ila kwa kweli simkubali kihivyo japo natamani kabisa kabisa ani-prove wrong.
Hapa ukanifanya nikumbuke goli lake la dk 2 tulivyowapiga 6
Kisha goli zake 2 walivyotupiga 3 ....
Siyo mbaya sana ngoja tuone
Nakuhakikishia katika usajili ambao nimeufurahia ni huu Mane fundi na atafanya makubwa.Dah, nisiyemtaka kaja! Kwa sababu atavaa jezi ya Liver itabidi nimuunge mkono tu, ila kwa kweli simkubali kihivyo japo natamani kabisa kabisa ani-prove wrong.
nilimtegemea kipindi cha BR atasajiliwa, badala yake BR kakimbilia kusajili magarasa Benteke...bullshit BRNakuhakikishia katika usajili ambao nimeufurahia ni huu Mane fundi na atafanya makubwa.
Hahahaaaa, BR ni mwehu usinikumbushe huyu mtu!!nilimtegemea kipindi cha BR atasajiliwa, badala yake BR kakimbilia kusajili magarasa Benteke...bullshit BR
Mkuu mimi nilijifunza kwa Benteke. Nilimpigia sana debe. Kwa huyu dogo nanyamaza.Sitaki kuongea mengi wacha niweke hifadhi ya maneno...... Mane baada ya vipimo
Tuli mlaumu sana Ayre na sign zake
Tuli mlaumu sana BR na sign zake
BR left Klopp in, Ayre still survive
Kama kweli tuta-end up paying £38 million for Mane kisha kuwa club's record signing I still dought something ... nilikuwa nataka niweke akiba ya maneno ila truthful am out for this shit ...
Echo, ayre wote walisema every signed player BR had a final say, so BR failed at his own risk, Klopp alitaka kumsign huyu Mane since way back yuko dortmund ila mambo yakamwia ugum, kama Klopp kaafiki kununuliwa kwa Mane sioni cha kupinga, i trust in him, alimwokota huko aubameyang leo tunaona anavyokitifua, lets wait and be humble, tumwache kocha afanye kazi kwanzaTuli mlaumu sana Ayre na sign zake
Tuli mlaumu sana BR na sign zake
BR left Klopp in, Ayre still survive
Kama kweli tuta-end up paying £38 million for Mane kisha kuwa club's record signing I still dought something ... nilikuwa nataka niweke akiba ya maneno ila truthful am out for this shit ...
Echo, ayre wote walisema every signed player BR had a final say, so BR failed at his own risk, Klopp alitaka kumsign huyu Mane since way back yuko dortmund ila mambo yakamwia ugum, kama Klopp kaafiki kununuliwa kwa Mane sioni cha kupinga, i trust in him, alimwokota huko aubameyang leo tunaona anavyokitifua, lets wait and be humble, tumwache kocha afanye kazi kwanza