Nice Aisee...Away kit
Kova nadhani madrid wanataka kum loan out roma, sio kumuuza moja kwa mojaFIRST 11.
Karius
Clyne-Matip-Sakho-J.Hector
Dahoud-Can
Coutinho-Bobby-Gotze
Sturridge.
Dahoud wants Liverpool, Ian Ayre akitoa £30m anayotaka kuwapa Southampton kwaajili ya Mane kwa BMG, ni lazma watamwachia Dahoud.
Kama BMG wakigoma, Hector Herrera and Tolisso are my 2nd choices...my 3rd choices are Camacho and Hojberg..Paredes ni great shout aswell but sidhan kama Roma watauza Aisee considering Wamemuuza Pjanic Juventus (Sioni Roma wakiwaruhusu Paredes na Gerson kuondoka kwa sasa)
Klopp yupo USA, ukiachana na mapumziko nahisi pia atakuwa anamscout na kumfatilia Hector Herrera (lol my dreams)...
And Kovacic is available pia, (£24m). badala ya kulipa £30m for Mane, hawa ni baadhi ya wachezaji ambao tunatakiwa kutumia pesa kuwavuta..kwasababu wanacheza kwenye maeneo ambayo tunahitaji kuyafanyia uwezekezaji mkubwa sana.
Apparently Madrid wanataka kumuuza moja kwa moja.Kova nadhani madrid wanataka kum loan out roma, sio kumuuza moja kwa moja
nimeona tena ishu wa walcot tukiusishwa nayo kwa £25MOverpaid for Caroll
Overpaid for Henderson
Overpaid for Downing
Overpaid for Mignolet
Overpaid for Markovic
Overpaid for Lallana
Overpaid for Lovren
Overpaid for Benteke.
Guardiola once tried to convert dan alves to a winger matokeo yake anayajua vizuri hakurudia kufanya hivyo the same may be applied to MorenoHivi Moreno hawezi kuwa transformed akawa left winger kabisa akaachana na ubeki?Anayo pace
Walcott kila window tunahusishwa nae, ni Kopite mwenzetu yule (shabiki wa LFC). maybe ndo maana tunahusishwa nae kwenye kila Transfer window.nimeona tena ishu wa walcot tukiusishwa nayo kwa £25M
Bora abaki kama back-up tu tukipata LB mzuri..au kama tutamchezesha kama Winger basi ni pale tutakapokuwa tukicheza 3-5-2..mfumo ambao sidhan kama tutakuja kuutumia.Hivi Moreno hawezi kuwa transformed akawa left winger kabisa akaachana na ubeki?Anayo pace