Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool fans 1st half: “Look at the impact Klopp has made, amazing”

Liverpool fans 2nd half: “This is still Brendan Rodgers’ team"

#COKEhead
Msiba tena na huku kwa waliozoea miujiza. Sasa sie wacha turudi bandani kwetu 'OT' kama hakijatokea kitu vile..!! Vingenyanyuliwa vikwapa humu basi habari ingekuwa nyingine
 
Daaah
Eb turud kwetu bhana

Kelele zangu kuhusu EPL itabid nizitulize kwanza
 
Msiba tena na huku kwa waliozoea miujiza. Sasa sie wacha turudi bandani kwetu 'OT' kama hakijatokea kitu vile..!! Vingenyanyuliwa vikwapa humu basi habari ingekuwa nyingine
Hivi kwenye ligi liver imemaliza ya ngapi?? Au mwakani wao ni kama chelsea?? Hamna hata futuhi??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…