Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kidogo Rafa afute uteja,hizi allegation za Sakho zina ukweli maana kiwango chake kilibadilika ghafla
 
inapendeza sana mkuu..

Klopp's era siyo ya kuimiss Aisee..
 
Mmmmh Ed n Edd nEddy angalau mmepata point moja

Hebu niombe nimfunge huyu Everton
Hahaaaa si vizuri kuishusha daraja timu inayofundishwa na kocha ambaye ametubakizia great memory .....

Teeeeehe teeehe niwaombee muingie fainali halafu kibahati nasibu mbebe kombe mje kutamba humu .... hakuna namna mpigwe tu
 
Leo sitamlaumu mchezaji yoyote all my blame to Klopp
I think alikuwa anajaribu kurest players kwasababu ya game ya Alhamis..

wachezaji wenyewe leo walishindwa kustep up kipindi cha pili..

Firmino has been so so poor Aisee..nadhan huwa inamchukua games 7-10 kurudi kwenye form yake baada ya kutoka majeruhi..
 
Said this before na ntasema leo tena kuwa Randall will NEVER make it at LFC..
 
Hahaaaa si vizuri kuishusha daraja timu inayofundishwa na kocha ambaye ametubakizia great memory .....

Teeeeehe teeehe niwaombee muingie fainali halafu kibahati nasibu mbebe kombe mje kutamba humu .... hakuna namna mpigwe tu
Hahah naona Leo klopp amewazingua eeh. Sasa hasira zako ndo unahamishia kwetu au. Acha hizo basi.

Leo tutatinga fainali
 
Ni rest of players,na hii imetokana na Injuries tulionao imepelekea kikoc kua finyuuuu
 
I think alikuwa anajaribu kurest players kwasababu ya game ya Alhamis..

Ni kweli kabisa

wachezaji wenyewe leo walishindwa kustep up kipindi cha pili..

Also true ingawa sijajua kwanini hii game alishindwa kuwapa madogo wengine wa-compete na hao kima

Firmino has been so so poor Aisee..nadhan huwa inamchukua games 7-10 kurudi kwenye form yake baada ya kutoka majeruhi..

I think inabidi tumsubiri kwa msimu ujao tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…