huwa ana watu watano tu wa kuwapigia pass mara kwa mara, (Can, Milner, Sakho, Lovren/Toure na Clyne)Haha hah nimecheka sana yule mzee wa back pass
Your right guy kloop he need more much time and is great manager but remember liverpool is a great club and we took many years like 5 without any trophy,liverpool is not Dortmund or stoke so lazma afukuze kina Milner hendo Mignolet ili apate mafanikioEmre Can anafanya kazi mbili uwanjani, ya kwake na ya Henderson mzee wa sideways na back-passes, sawa tunajua anacheza na maumivu lakin jamaa ni average sana, anachojua ni kuwapigia marefa makelele tu, (sijui vilitumika vigezo gani kumpa ucaptain jamaa yetu), he's just a good squad player..
Me nitapoteza imani yangu KUBWA niliyonayo kwa Klopp kama Henderson ataendelea kuwa regular starter next season..
jana Milner alivyotoka tu, team ikaanza kucheza vizuri..milner huwa anaichanganya timu
Lol [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] leo nimecheka sana aiseeehuwa ana watu watano tu wa kuwapigia pass mara kwa mara, (Can, Milner, Sakho, Lovren/Toure na Clyne)
akijaribu long range passes kwa Moreno/Firmino/Cou/DS/Origi ujue huo mpira utakuwa wa kurushwa kuelekea kwenye lango la LFC..
Your right guy kloop he need more much time and is great manager but remember liverpool is a great club and we took many years like 5 without any trophy,liverpool is not Dortmund or stoke so lazma afukuze kina Milner hendo Mignolet ili apate mafanikio
Hahahahhahaha ina maana ile red yake ili kuwa na faida kwetu kuliko kwa crystal palacejana Milner alivyotoka tu, team ikaanza kucheza vizuri..
but, Sad thing ni kwamba Klopp likes him..
YeahYap Yap, thats right man, ndo maana me nilikuwa nataka sana Klopp achukue ile COC..ingetu-boost sana Aisee..
We should sell Benteke, got a feeling Sturridge will do a 'Van Persie" kipindi kile wakat yupo Arsenal..Sturridge jamani bado mnataka aendelee kubaki?Hapana bhana......aondoke tupate striker mwingine
SaaaaaaaanaHahahahhahaha ina maana ile red yake ili kuwa na faida kwetu kuliko kwa crystal palace
Aisee tangu tukose fainali sijaangalia game zetu tena. Shida ya Milner na Hendo wao wana basics football sidhani hata kama walikuwa na talents utotoni kuna sehemu mpira wa darasani unagoma hapo ndo talents ina fanyakazi, wao wa darasani ukigoma kwenda mbele basi ni mwendo wa back and side passesSaaaaaaaana
si uliona mwenyewe, alivyotoka, mpira ulivyobadilika..
Milner ana mbwembwe sana, kipindi kile kaja tu akaintroduce free-kick zake zile mbooovu, sahiv anaweza akapiga corners hata 80 isizae hata moja au anaweza akaanzisha short corners zile, akampasia Moreno, Moreno atamrudishia, Milner atajaribu kupiga chenga, akishindwa anaurudisha kwa hendo, hendo anaurudisha kwa Sakho, Sakho atapiga kwa Can, Can atamwachia hendo afu atakimbia mbele kutengeneza nafasi, Hendo hatopiga huko, atamrudishia Clyne akiwa na opponent attacker karibu yake, naye atamrudishia fasta hendo kuondoa presha, hendo ataangalia nyuma kina Lovren/sakho/Toure/Migs watamuelekeza apige mbele kufungua nafasi, atapiga mpira mreeeefu kwa coutinho, na utakuwa ni mpira wa kurushwa kuelekea lango la LFC, hapo utamuona kashika kiuno anajikufa Ni hybird ya Gerrard na Scholes..
Aisee tangu tukose fainali sijaangalia game zetu tena. Shida ya Milner na Hendo wao wana basics football sidhani hata kama walikuwa na talents utotoni kuna sehemu mpira wa darasani unagoma hapo ndo talents ina fanyakazi, wao wa darasani ukigoma kwenda mbele basi ni mwendo wa back and side passes
Saaaaaaaana
si uliona mwenyewe, alivyotoka, mpira ulivyobadilika..
Milner ana mbwembwe sana, kipindi kile kaja tu akaintroduce free-kick zake zile mbooovu, sahiv anaweza akapiga corners hata 80 isizae hata moja au anaweza akaanzisha short corners zile, akampasia Moreno, Moreno atamrudishia, Milner atajaribu kupiga chenga, akishindwa anaurudisha kwa hendo, hendo anaurudisha kwa Sakho, Sakho atapiga kwa Can, Can atamwachia hendo afu atakimbia mbele kutengeneza nafasi, Hendo hatopiga huko, atamrudishia Clyne akiwa na opponent attacker karibu yake, naye atamrudishia fasta hendo kuondoa presha, hendo ataangalia nyuma kina Lovren/sakho/Toure/Migs watamuelekeza apige mbele kufungua nafasi, atapiga mpira mreeeefu kwa coutinho, na utakuwa ni mpira wa kurushwa kuelekea lango la LFC, hapo utamuona kashika kiuno anajikufa Ni hybird ya Gerrard na Scholes..
Sturridge lol, i would prefer flanno to moreno, moreno has pace
Fact!Emre Can anafanya kazi mbili uwanjani, ya kwake na ya Henderson mzee wa sideways na back-passes, sawa tunajua anacheza na maumivu lakin jamaa ni average sana, anachojua ni kuwapigia marefa makelele tu, (sijui vilitumika vigezo gani kumpa ucaptain jamaa yetu), he's just a good squad player..
Me nitapoteza imani yangu KUBWA niliyonayo kwa Klopp kama Henderson ataendelea kuwa regular starter next season..
Apewe nani?Fact!
Klopp afanye tu maamuzi magumu amvue Henderson u captain.
Can or lovrenApewe nani?
We should sell Benteke, got a feeling Sturridge will do a 'Van Persie" kipindi kile wakat yupo Arsenal..
We just need to add another Decent ST...Sturridge siyo wa kumuuza, tutakuja kujuta..Klopp ana mpango wa kubadilisha mpaka our medical team, lets be patient Mnyakatari..
but cha msingi ni kuongeza ST mwingine mmoja, sidhani kama Benteke ana nafasi tena, maana at this rate he's our 3rd choice ST..
Pale benteke hajadive...kudive ni kwenda chin bila hata contact...kulikua na contact which brought benteke down..clear penalty.Benteke ameogelea akapewa tuta