Benteke sijui anashida gani leo ni mechi ya tatu anakosa goli dakika za mwisho yeye na kipa, ojo ni team player siyo kama ibe nakimbia na mpira mpaka anatokanao nje ndo anatoa cross, nimependa sana goli la ojo
Hahahha eti Hamann think Klopp protect DS over his injury said Klopp he is not honest and truthfully. He think DS is pretending to be injury.
BTW .... ..... ... .kwa hisani ya Mbu kwa all the Kopps ooooops Klops ..... ..msijali nachikia Manure wamechukia wana sonya tu khe khe khe khe khekhe khek he khek heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Liverpool youngster Sheyi Ojo wheels away in celebration after putting his side into a commanding 2-0 lead against Exeter City
The 18-year-old winger curls his effort past Exeter goalkeeper Robert Olejnik during the closing stages of the FA Cup clash
Liverpool midfielder Joe Allen (24) puts his side into a 1-0 lead with a neat side-footed finish after a Brad Smith cross
Allen celebrates the 10th minute strike with his provider Smith (left) who raced towards the byline before cutting the ball back
Hongereni wakuu kwa ushindi mnono.
Kwasasa Allen abakie tu na ile injury list sidhani kama itakuwa wise kumuacha aondoke kama ni kuondoka aondoke tu mwisho wa simuHivi mnaionaje perfomance ya Joe Allen???? Pearce saying Swansea wanataka kumrudisha huyu jamaa kwao wales...
Je kwa sasa utakubali kuuza Allen? Na Summer pia utakubali kumuuza??
Your thoughts waungwana????
Ameni-prove wrong kabisa nilijua chini ya klopp hataweza ila he did the best day after dayHivi mnaionaje perfomance ya Joe Allen???? Pearce saying Swansea wanataka kumrudisha huyu jamaa kwao wales...
Je kwa sasa utakubali kuuza Allen? Na Summer pia utakubali kumuuza??
Your thoughts waungwana????
Flanno spent 18 monthes to recover.Ninachohisi mimi ni lazima kuna kitu LFC wanakificha kuhusu DS, Flanno had a Knee injury and DS had a Knock tu, lakin Flanno kawahi kurudi full kabla yake..
Klopp alimwambia jamaa afanye mazoezi ya peke yake kwa siku 9-10, but katikati ya hayo mazoezi AKAUMIA tena, and leo naona kuna some rumours kuwa jamaa kaambiwa afanye mazoezi na team kwa siku 10 mfululizo kabla ya kupewa nafasi ya kuingia uwanjani kwa mara nyingine tena.
***** ridiculous stats...huyo kama mkhitaryanBreaking: Ayre ameenda florida ku-seal the deal ya Brazilian attacker Alex Teixeira inaonekana Liverpool wame-bid £25m ila shaktar wanahitaji kama £39
Umesahau ma ojo ahead of ibeTeixeira/Brannagan should be starting ahead of Lallana...
Period..!
kinacho niuma ni teixeira na umri ule alitakiwa awe regular starter ila ndo hivyo bado ni academy player wakati kuna mtu kama lallana anavunja movement kwa kukaa na mpira muda mrefuTeixeira/Brannagan should be starting ahead of Lallana...
Period..!
Sidhani kama Klopp ana future na Teixeira anaonekana hivyo sema tuu kwa kuwa ni FA anataka kuwapima watoto atapewa nafasi joa ana kila kitu dogo kasoro juhudi that's why hatumwoni eplTeixeira/Brannagan should be starting ahead of Lallana...
Period..!