no
Wadau naombeni transfer news za Liverpool. Hata Kama za uongo ilimradi zinifariji hivyo hivyo
- Marko Grujic's annoucement inaweza ikawa leo, English press claiming he'll re-join club yake ya serbia mpaka mwisho wa msimu while serbia press claiming he'll NOT return to serbia, nipo njia panda, but nimeamua kidogo niwe upande wa English press
- Expecting kumpa mkataba wa awali Matip hii january.
-Been linked with numerous GKs with Ter stegen news hotting up kila siku, pia kuna Leno, Karius, Muslera, Horn na Mandanda BUT klopp has ruled out signing yoyote inayohusiana na GK window hii, but lets wait and See..Hearing Barca wants £20m for Ter Stegen (According to "Mirror" though"
- Linked with Vfb stuttgart winger "Kostic" and Schalke 04 winger Sane ambaye nadhan Man city ni front runner, cant see Klopp paying £30m+ for him
- Mino (Balotelli's agents) anasema jamaa anataka kuvunja loan spell yake at Ac Milan ili kurudi LFC, reports zinasema bado hawajaongea na Klopp, though Klopp alikuwa Coy kuhusu hilo suala kwenye presser yake ya Capital one cup.
-Signed under 16 GK
-Linked with Aubameyang, cant see Dortmund letting him go hii january though.
- Gundogan as a major summer signing, still hotting up,
-Linked with Bender
-Allan de Souza anatoka kwa mkopo
-Ryan Kent karudishwa Anfield
-Bascombe Saying Klopp kapewa £20m tu ya usajili this window.
- Lazar Markovic wants a permanent deal at Fenner, kwa maana nyingine he does not wish to return pale Anfield, He was quoted saying yeye mwenyewe ndo aliforce move ya Fenner and not LFC, Pia Fenner nao wanataka kumnunua moja kwa moja,
-Linked with Pjanic (been shit lately though)
-Linked with Pato
-Linked with Dembele wa Fulham
-And...we've been hugely Linked with Toni Kroos
BUT, PAUL JOYCE SAYING "KAMA KUSIGN PLAYERS TUTASIGN SAAAANA BUT SIYO JANUARY NI SUMMER" so usijipe moyo saana na hii january ndugu, unaweza ukaumia moyo bure. tusubirie tu Suprises.