Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

People should understand, kwann tunamoan kuhusu kucheza boring football at Anfield, next round Arsenal, Man utd, City, Chelsea, Everton wote wanakuja Anfield..
 
dammmmmmn, bonge moja la dreaaaaam.....hatariiiii

Hivi flanno anarudi lini?? Na yule kibonge wa kispain ameishia wapi?(enrique), i have missed flanno man marking nakumbuka debut yake king kenny akimwambia kashugulike na walcott tu pini aliyopigwa ilikuwa balaa
 
hahahaha, "SCOUSE CAFU" Flanno december hii nadhan atarudi, ilikuwa arudi mid-december, lakin sijaona updates nyingine..

Enrique karudi Aisee, hahaha, juzi katrain na First team, anaweza akapata shout dhidi ya Southampton hiyo j5..
 
During BR tenure, alikuwa anamtumia vibaya clyne angalia sasa kazi anayopiga leo montero aliwekwa mfukoni na moreno damn that pace leo roufledge alipoa kabisa

Mi naona hizi game na timu ndogo JK anachofanya ni kukeep opponent's team star kama leo hatukuwa na performance nzuri ila Ayew, sigurdisson na montero walitulizwa vizuri they didn't see mych of the ball
 
Sema i'd rest Clyne and Moreno kwenye hiyo Cup game, jamaa wamecheza games nyingi sana, sana sana Clyne,

Randali is ready to step up, and Enrique yupo.
 
Sema i'd rest Clyne and Moreno kwenye hiyo Cup game, jamaa wamecheza games nyingi sana, sana sana Clyne,

Randali is ready to step up, and Enrique yupo.

Ila cha ajabu JK atastick na kikosi hiki hiki labda atachange kwenye attack tu jamaa anataka kikombe kwanza ndo maana mechi nyingi amekuwa na strong squad.

Kwa kikombe chochote atakachobeba kitakuwa naAimpact kubwa kwenye usajiri mkubwa na itajenga confidence kubwa wachezaji na kuwakeep akina coutinho, Can ( alikataa kurudi B.Munich kuja anfield), firmino ( ila hiki kizazi ya brazil ni money oriented hata bobby ni hivyo ndo maana kumekuwa na influx ya wabrazil england at a tender age hiki kizazi ni tofauti na cha kina di lima, Carlos) na moreno
 
G8 today at melwood
 
Attachments

  • 1448893968047.jpg
    1448893968047.jpg
    19.5 KB · Views: 129
  • 1448894009860.jpg
    1448894009860.jpg
    17.8 KB · Views: 130
Sijui kwa wengine lakini kwangu mimi, STEVEN GERRARD IS THE GREATEST PLAYER OF MY GENERATION...
 
mak89 hahahah, umemuongelea jana mdogo wako, naona katrain leo na team
ImageUploadedByJamiiForums1448921335.524364.jpg
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom