Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani hii timu niliipenda mpaka kuwa na huzuni,sasa naona hata Lucas na kocha wako safi hata furaha imerudi kwa wachezaji,BR alitaka kuondoa malegendary woote hata tusiwe na kiongozi uwanjani. Nashukuru sasa naweza kaa na kuangalia hata mechi. Asante woote kwa habari nzuri,nikaribishe hapa ni mgeni wenu na shabiki wa hili chama kubwa kabisa. YWNWA
 

Karibu...YNWA!
 

Karibu sana liverpool
 
Today at Melwood
 

Attachments

  • 1445621309102.jpg
    15.1 KB · Views: 75
  • 1445621331277.jpg
    17.5 KB · Views: 71
COUTINHO rumours za barca znamchanganya sana, dogo anacheza chini ya kiwango sana,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…