Leo kati ya wachezaji walioonyesha uwezo wao kimpira kwa 100% ni sanko pekee.
He deserve it, zile blocks alizofanya kwenye build up ya coutinho na emre can was superb, yeye na yule mtoto ali wameishape sana spurs msimu huu. The only thing that i'm proud of ni ile partnership kati ya lucas na emre can kwenye midfield mpaka kuna sehemu commentator anasema emre can, he feels home today na kuna shoot moja alipiga ikatoka nje klopp aka applause kuna signs of improvements siyo kwenye midfield pekee bali hata kwenye defense
Its ila hizi english media zina m-hype this will pile pressure on him wakati timu aliyopewa inahitaji changes
kipigo cha kwanza kwa klopp leo
kila la heri. mimi napita tu
hahahahahah tunguli la JF . naona mmepata point mojaKweli kabisa teeehe sijui umechungulia kwenye tunguli gani..!?
ligi mtaanza lini?Rudi mkuu au safari bado ... Asante na pointi yetu moja
ligi mtaanza lini?
mnacheza na timu gani?Wiki ijayo mkuu na ushindi mnono wa 4-0
mnacheza na timu gani?
Ed n Edd nEddy nimepita hapa ila leo nimekusamehe , msalimu kaka yangu Malafyale na Pazi na wengine wote....
mechi ngumu hiyoSouthampton
Umesema kweli ila Clyne je dogo mkali ila Mie Bado naamini Henderson ndio atapendezea zaidi mfumo wa Klopp kwa Kati Mie kina Milner na Lallana peperushia mbali Handerson Kama wakiwekwa wing za Nguvu na Middle Jembe basi utampenda subiri apone Mie namuombea Flanagan apone amekaa sana nje ila Yule Rossiter asahau sitaki hata kumuona kuzaliwa Liverpool usiwe sababu si wa kuchezea LFC. Sinclair Leo Mbele angefanya mazuri kuliko Origi.Mkuu
Zaidi ya Sakho sijaona beki ya kubaki pale utawala wa mchawi wa soka Klopp!Maana Klopp ana amini beki na viungo ndiyo wanakupa ubingwa!Sioni tena nafasi ya ajina Henderson hapo ataleta wake
CC Pazi
Asante mtani .... Utaacha kuja kabisa maana saa hizi ni ushindi kwenda mbele
mechi ngumu hiyo
Yangu macho na masikio yaani katika shida na raha nitakuja......