Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Rogers hivi kweli unanifanya niache kufuatilia mpira? wakuu huwa ninasoma comment si mchangiaji sana humu ndani ila ni shabiki damu wa Liverpool tokea mwaka jana nilitamani kuacha ushabiki nimeshindwa naipenda liver ila huyu kocha sijawahi mkubali hamna namna akaondoka???
 

Pole. Karibu man u upate raha.😀😀
 
Hahaha hawa liverpool ni specialist in failure...yan kila msimu wanA sajil kikosi kipya lakin doz ni ile ile....😱😱😱
 
Bora Kuwa na Hicks and Gillet wasiotowa pesa kuliko Henry and Warner wanaompa pesa mtu Kama Rogers anauwa timu. Bora ningewaomba Southampton wanichukue nicheze bure bila malipo Pengine ningepata kuchezea LFC na Kuwa karibu na Rogers nimshushie kibano cha Nguvu FA na FIFA wanifungie 4 Life.
 
kuishabikia liverpool yataka uwe na roho ya chuma la sihivyo inaweza kua ya yale ya vijana wa mombasa kujitupa kutoka katika gorofa a.k.a aseno fan.
 
Nimeanza kuuona mwisho wa BR pale anfield...akivuka December itakuwa miujiza.
 
Kwani majogoo leo vepeeee...
Yamenyonyolewa everlenk ukuje kwenye msiba huku

Leo nimekuvulia kiatu lol......hata kama kurithi umerithi vibaya, pacha humu tuna the Shem darling Manga ML pole sana darling, Nina kaka mpenzi kama dawa Malafyale kaka poleee Ed n Edd nEddy pole sana mtani wangu leo sikutanii nahisi nitakuua, Asprin MyLove poleee Sweet Kaizer darling pole sana njoo na Asprin niwafariji mak89 pole best MosDef sijui nikuchekeee aaah ngoja nikuhifadhi kwa leo ila unaniudhi??!!! AllLFCfans
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…