It is ibe who needed atleast 23 loan moves, not marcovic who hasn't been given proper chance. .ibe finished last season with total of zero assists and zero goals while marcovic scored and assisted few.. never seen someone wasting money than boger. Marcovic deserved to be given a nod ahead of ibe who looks the unlikeliest player to score goals..
Bro haya mambo ukiongea humu kuna watu wanaona kama una agenda na rodgers au huipendi team, Markovic katoka league nyepes Ureno na kipind anatoka ureno ule msimu alikuwa katika Top 20 ya Wingers bora wa chini ya miaka 21 Europe, kaja UK kwenye league ngumu, akawa anachezeshwa kama LWB/RWB, katika nafas ambazo hajawah kucheza tangu azaliwe, leo hii tunaambiwa ni m-bovu, so tunampa nafas ya kudevelop cha kushangaza tunampeleka Turkey!!! Asa atadevelop vipi kwenye league ya kipuuzi kama ile???
Lovren ndo alikuwa mchezaji m-bovu last season lakin kapewa 2nd chance, Joe Allen for the last 3 years hakuna chochote alichokifanya kwenye team zaid ya ile Miss dhid ya Everton lakin bado tunae, Lallana yule mshenz ndo hakuna hata anachokifanya kwenye team yetu yet kila siku yupo tu kwenye team sheet, hiyo mizoga yote imesajiliwa na Rodgers ndo maana anaipa nafasi, Ibe na lallana hawana uwezo kama wa Markovic, ibe na lallana ndo walitakiwa waondoke kwa mkopo, Marko na Tex wabaki...unaweza ukasema Ibe bado mdogo sana na anajifunza coz hata sterling alianzia huku huku, but lallana ana miaka 27 sahiv ana kipi cha kujifunza???
Mpaka sasa hakuna mchezaji hata mmoja ambaye kasajiliwa na rogders mwenyewe ambaye kafanikiwa kwenye team, kuanzia Allen, Aspas, Luis Alberto, Borini, etc..lakin kila kukicha anawatoa wachezaj waliosajiliwa na committe kwa mkopo ili kuprove a point, Origi yule ana haja gan ya kuwepo LFC? Markovic unampeleka Turkey akaimprove?? Washenz kama kina Lallana unawaacha kwenye team???
Lucas kila msimu huwa anazinguliwa, safar hii ilikuwa aende Besiktas, lakin wanambakiza kisa Henderson na Allen wote majeruh..and how can you rate those 2 shit players mbele ya Lucas??
Shabiki yoyote yule wa LFC aje hapa na aniambie kama alim-miss Henderson kwenye game yetu dhidi ya Arsenal..
It is ibe who needed atleast 23 loan moves, not marcovic who hasn't been given proper chance. .ibe finished last season with total of zero assists and zero goals while marcovic scored and assisted few.. never seen someone wasting money than boger. Marcovic deserved to be given a nod ahead of ibe who looks the unlikeliest player to score goals..
Inaonekana Mashabiki tunaakili kuliko Brendan Rogers Hana upendo na timu BR Yule Markovic ndio wakubaki na Ibe anamengi yakujifunza bado nje ya timu... BR anamwambia Joe Allen aumie mpaka usajili ukipita akirudi moja kwa moja anapangwa na hasa tukicheza na Man U pia Lallana anamlazimisha sana Yule jamaa mpira anajuwa ila tatizo chenga nyingi Pasi hatoi na BR hammwabii Lalana nini kosa lake... BR anaupendeleo na hapendi nafikiri mchezaji akimwambia ukweli Huyu BR ashukuru Garry Macalister yupo pale anajuwa kufahamisha wachezaji vipi namna ya kukaba na nini cha kufanya na wapi na kipi mchezaji afanye. Mie manager wangu pale Gary Macalister (babu).Hii habari imenisikitisha sana siku ya leo i have nothing to say
Mie nasema ukweli wangu simchukii Handerson jamaa nampenda akiamuwa kucheza ila sio Kuwa Captain sababu hata walivyokuwepo Carrol na Downing na Hendo ni Hendo tu ndio nilisema ni Player Mzuri tukumbuke Phil Jones ndio alishindanishwa na Hendo mpaka Leo ki mpira najua katika hao Wawili waumie waisumie Nani nachagua ila BR kwa anavyofanya kwa upendeleo wa players sivyo, BR anamuharibu Hendo kumfanya captain atajiona hakuna mchezaji Kama yeye Hilo ndio tatizo kwa Hendo asingempa Captain ingemsaidia Hendo kuongeza speed Mie naamini ni mchezaji Mzuri sana akijituma na akatoa Egos za kujiona kashakuwa mchezaji kamali. Ila kwa Markovic sivyo na ashukuru Gomez anacheza vizuri kushoto lasivyo naye sio eneo lake dogo sehemu yake kati. BR nikasikia kamuuza au mkopo sakho ndio nitaenda kumtoa Mie huko alipo.
BR nikasikia kamuuza au mkopo sakho ndio nitaenda kumtoa Mie huko alipo.
Rodgers ni tatizo sana pale LFC, tatizo sana..
Njoo nikufariji mtani wangu......Hii habari imenisikitisha sana siku ya leo i have nothing to say
Time will tell ...... BR anachokifanya huwa kinanistua mara kwa mara