sijaielewa hiii sentensi
You meant to achieve!? Was Ayre talking about the achievements in his club??Nimeipenda hii kauli Ayre:" the objective that the manager wanted to archive, we've archived all of them"
Nadhani BR hatakuwa na excuse yoyote kipindi hiki
Vibonde mpo
Wakuu naomba mnijuze,Juzi nilisoma mahali kuwa adama traore set for liverpool medical huku kukiwa na uwezekano mkubwa wa kukamilisha usajiri wake wa Β£14.5m from barca!
Jana nikasoma nafikiri ktk fb kuwa hyo deal imekuwa qruashed out(sijui km spelling ziko sawa).Na ktk wachezaj wa hakiba wa ac milan jana niliona jina adama traore?je ni mchezaji huyo huyo mmoja anayetoka barca kwenda liverpool?Deal inaendelea au Imeshindikana?
Nani kibonde humu umepotea thread au
Mambo anayofanya kijana wenu Jonjo Shelvey si mchezo, fanyeni mipango mumrudishe
Yaani kuna umuhimu huyu dogo arudi home sasa...
si kwa utawala wa BR,
si kwa utawala wa BR,
FT: Stoke City 2 - 0 Liverpool
Mechi imeshachezwa kumbe π±π±π±