Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kipindi cha pili kwa kiasi fulani kimetawaliwa na pasi fupifupi za Bris...
 
...Ibe...running with he ball from the middle na chenga mbili tatu only to be blocked by the keeper...kona haikuwa na matokeo chanya...
 

Ni kweli kabisaa urigi nimemona juzi atalazimisha acheze benteke kwa thamani ya pesa wen dogo ndo yuko poa ki uwezo tena ni fighter
 
ahsanteee, lakini kuna watu wanamuita kibabu,

Mkuu herrera, Kuna usemi...utuuzima dawa...ni moja ya kigezo kwa man u kumchukua Schweinsteiger...

Huwezi kutoa credit saaana kwa mchezaji wakati wa pre-season but so far kwenye mechi mbili ambazo nimeingalia timu yetu, Milner ameonekana kujituma and shows high level of professionalism.
 

mkuu mi ninachopingana na watu ni kuwaita wachezaji flani wazee wakati wakiwa uwanjani shughuli yake ni zaidi ya wale vijana, ona Leo hii milner kawapatia goli LA ushindi japokua ni pre season, vipi akina ibe vijana wamefanya nn ishu ya kwamba wanamda mfupi wa kucheza I don't care as long as club itawaleta wengine nao watafanya poa, suala la kwamba sijui pesa nyingi mi sijali maana pesa za club mi hazinihusu, mtu akikuwekea ronaldo 30 na sterling hapa utachagua nani? sidhani kama kigezo cha umri kitatumika, refers kikosi cha juve na ubabu wao wamefika uefa final
 
Tumekaa muda mrefu tukijadili na kufuatilia dirisha la usajili jinsi linavyokwenda. Kila chanzo cha habari kikisema lake. Asilimia kubwa ya yale yanayokuwa yametawala vyombo vingi ni habari za kukisia, kusadikika na udaku. Naweza kusema pre season itatupa ahuweni na kutupumzisha na purukushani hizi zenye habari kemkem za kuumiza vichwa.

Pre season inanipa wasaa wa kuzipa kisogo kidogo habari za usajili na kwanza kufanya tathmini ya timu yangu baada ya kuiona kwenye mechi mbili za utangulizi ambazo imeweza kuzishinda timu za Thai All stars na hivi leo timu ya Brisbane…

Wachezaji tuoendelea nao…
Nimetupia jicho kwa wachezaji tulikuwa nao toka msimu uliopita na kuna machache ambayo nimeyaona
Mignolet...hakuwa na kazi yoyote kutoka na aina ya ushindani tuliokutana nao. Kolo was ok in both two games, Sakho…apart from ugonjwa wake wa kujigongagonga ambao umejitokeza tena, his is in a good shape with two thumping headers…one resulted to a goal. Skrtel amezubaa and looks like he is still in holiday…as for Loveren he look ok. Lucas has been composed and dictated the game well, especially kwenye match na Bris. Lallana amerejea na speed nzuri akifunga kwenye game zote mbili, markovic performed well when played behind the striker…no changes kwa Lambert, kwa Ibe naweza kusema ameanzia pale alipoishia, sharp with speed but bado anakosa maamuzi sahihi. Mchezaji ambaye amefanya vyema mpaka sasa ni Hendo, physical, and tricky at times…rabona assist to Lallana…probably ni katika kuonyesha kwamba jukumu alilopewa analiweza…

Academy/Reserves…
The game against Thai, wisdom looked uncomfortable played as LB…nafikiri kwenye baadhi ya gemu za msimu uliyopita tulimuona rossiter and what I can say is that he looked promising…akicheza kwa kushirikiana na marko, teixeira played well and registered himself with the assit to marko’s goal…kwenye gemu ya leo we got the chance to see the other talent on Kent, he has speed but he needs time to develop. I think the one who comes on top of all the kids is Maguire, defending well, busting forward and coursing problems with his crosses…

Wachezaji wapya
Like Mignolet, Bodgan also didn’t have much to do…tumezoea kumuona clyne akipanda sana kusaidia mashambuli wakati akiwa soton, but it was opposite on these two matches…I think kile ambacho kinatarajiwa kwa Milner kimeanza kuonekana, he works hard and leading by example. Leo nimemuona akiongeza zaidi na wachezaji wengine kuliko hendo…Ings needs to pull up his sox…Origi is very good on his running’s especially behind the defenders, and he’s got aerial threats as well…the one looks very promising is Gomez…played out of positions but he didn’t put his foot wrong
 

hey....brother...

ndio tuseme Teixeira hujamuona kabisa mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…