LFC fans wanatakiwa wakubaliane na ukweli wa hali ya club kwa sasa, kama FSG walishindwa kumfukuza Brendan hiyo ni ishara tosha kuwa hawana ambition kabisa, so hata signings tusitegemee kubwa sana, kinachosubiriwa hapa ni FSG kuuza club upanuzi wa uwanja ukikamilika, realistic targets za LFC katika striking option ni Aubameyang, Vietto, Higuain and Benteke, ITK's wanasema we'll try kwa Tevez kama first targets zikifail, but sijaona any local journal akireport hii ishu.
BR alivyobaki LFC, nkajua hakuna kikubwa cha kukitegemea, hatuna owners ambao wanaijua thamani ya LFC na mpira kwa ujumla, so tutamoan sana lakin ukweli hautabadilika, me nshaacha kumoan kabisa kuhusu transfers tangu last season, i remember nlilalamika sana kuhusu Remy humu, mpaka watu wakasema nalalamika sana, lakin matokeo yake yakaja kuonekana, me sahiv sina haja ya kujiwekea expectations kubwa za usajili, coz naogopa kuwa dissapointed sana, kama owners hawakuisikia 89% ya LFC worldwide waliokuwa wanataka Rodgers afukuzwe, sidhan kama watasikia chochote sahiv.
Cha msingi LFC fans wanatakiwa wawe excited na habari za kubadilishwa kwa backroom, Rene au Pako watatusaidia sana, lakin kutegemea makubwa kwenye usajili yatakuwa ni maumivu tu baadae.
Kama tu backup keeper tunamtaka bogdan wa Bolton, unafikiri kuna nn hapo? Yaan logic ya rodgers ni kuwa bogdan ni upgrade ya Brad jones...club yetu. Ndo ipo hivyo sahiv, so tutamoan sana lakin it wont change a thing..kama local lads waliopo Liverpool city, wanashindwa kuchukua actions zozote zile, itakuwa kwa sisi mashabiki wa mbali???