Pole kaka yangu....
Bascombe and Paul joyce are saying FSG wamerule out the appointment of a DOF and changes in the Transfer Commitee, and Sam wallace of Independent says FSG themselves have inquired for Benteke...
HAHAHAHAHAHAHAHA, WE'RE FUCKED LADS..
Mkuu usiwe na wasi wasi!
wataruka ruka sana hawa FSG lkn mashabiki watamuondoa BR
100% BR hatakuwa kocha wetu 2015/16
FSG hawasomeki manina zao.... wanatutia presha tu
Mkuu we acha tu
wanatupa gagasiko la moyo na sononeko la akili kabisa:sad::sad::sad::sad:
BR akirudi 2015/16 nachoma moto jezi zangu zote za Liverpool zikiwepo hata hizi za binti na kijana wangu
Hihiii watani zangu bana....
Eti Walcot zaidi ya Raheem???
No way bana Mr. Mangi tell me this is sarcasm
sasa theo anabaki na sterling tunamchukua tetes zinasema dogo ni shabiki namba moja wa arsenal yupo tayar kuichezea japo anaijua arsenal inalipa mshahara kidogo ndo maana agent wake kawaambia mshahara sio tatizo
Wiki hii BR atakutana na Mike Gordon kufanya review ya season hii ...... Naomba baada ya haka kamkutano kao iwe ndo mwisho wa BR
JF football Experts LOL..
Raheem Sterling was a boyhood manchester United fan..
And Theo Walcott was a boyhood LFC fan..
Sometimes uwe unapita kimya kimya, siyo lazima uchangie mate.
najua ila hizo ndizo tetes zilizopo
From sunday people, Daily Mail, the Express and Mirror???
LFC wants £40m for sterling, kama Club yako ipo tayar kulipa hicho kiasi, then LFC are open for negotiations..iwe Arsenal, Chelsea, Man city or club yoyote..
Weee weee weee we!!!! Arsenal ipi ya kulipa pesa hizo. Timu imekalia majungu utadhani ya manzese! Hivi arsenal wangebahatika kuchukua UCL japo mara moja, balaa lake tungekaa kweli?
Hahaha mkubwa hapo hutakuwa hujafanya kitu.....Jezi zimekukosea nn wewe....?BR akirudi 2015/16 nachoma moto jezi zangu zote za Liverpool zikiwepo hata hizi za binti na kijana wangu
Hahaha mkubwa hapo hutakuwa hujafanya kitu.....Jezi zimekukosea nn wewe....?
Sababu nitaichukia Liverpool hadi aondoke huyu mediocre aliye spend 216 milion bila hata kombe la mbuzi
Kweli team yangu inafungwa bao 6 na Stoke?Kama unacheza na Barca leo si zitafika 20?