kaka yako zouma kaumia, umemuona??
Beta yuu watani mmeweza hata kulirudisha.....
Unasema?
Bado unahitaji updates?
BR ndio tatizo hapa. Vile vile owners. Vile vile fans.
Lete a high profile manager with a pedigree of winning. Then sign good players na sio prospects
Kocha tu ndo shida kalewa sifa akajiona kishifikia levo kubwa sasa aibu anaona yeye uuze suarez ulete lambat kweli?
nkamu ukali kwinoghona ukukina kyampioni?