Una maoni gani kuhusu iyo analysis ya Chris??
Yupo Right sana, kuhusu Transfer deals za LFC, tumekuwa wabovu sana katika upande wa "usajili" na policies zetu ndiyo zinatucost sana. Na kitu kingine kuzidi kuboronga kwa team yetu ndo kunafanya policy yetu izidi kuwa ngumu sana, zaman ilikuwa ni rahis kuwaconvice "promising World Class Players" (torres, Xabi, Masch, Agger, Arbeloa, Reina, Kuyt etc) coz tulikuwa tupo SAWA sana, lakin sahiv hata wachezaj kama Lacazzete, Jovetic, Pjanic, Kovacic, Etc tunaona kama ni NDOTO kuwapata, kwasababu team inazid kuboronga kila kitu, na Without UCL, last season kina Can, Moreno tungewaskia kwenye bomba.
BR and FSG wote wamefail, lakim BR kafail sehem zote mbili, uwanjan na Signings, game yetu na Hull city, nilikuwa sielewi tunacheza mfumo gani, karibia wachezaji wote kwenye kikosi hawachezeshwi kwenye number zao halali, mfano Can-RCB, GJ-LB, Hendo-RWB or RCM, Markovic-RWB (juzi kamuingiza dogo, akampeleka kucheza RB, talent ya huyu dogo ikipotea, ntamlaumu BR mpaka nakufa), Coutinho haelewek anacheza wapi CAM or AM, team haina Natural DM (akiumia Lucas, ndo basi), Lallana ndo huwa haelewi anacheza wapi maskini..hapa wa kulaumiwa ni BR, kwa anakuwa anaua sprit ya rythim ya team, wachezaj wanakuwa hawaelewani kabisa.
Na kitu kingine Ego inamuharibia sana jamaa, ndo maana senior players wengi wameondoka tangu reign yake ianze, callagher, Agger, Reina, SG anaondoka etc, wachezaji kama hawa itabid uwe nao kwenye team, na hii haihitaj exprience hata kidogo, Klopp kule dortmund yupo na kina Kelly mpaka leo hii, Martinez kaenda Everton kawakuta kina Osman, Distin etc lakin yupo nao mpaka leo, Wenger kamrudisha Flamin kwenye team, Mou baada ya Lampard kuondoka, akamrudisha Drogba, Stoke kuna kina Walters, westham kuna kina Collins, Nolan etc, Man utd, kwenye bench yupo Giggs, ndan yupo Carrick (na mmeona motivation ya carrick), asa umemtoa Agger, Reina, he was about kumtoa Lucas, unamtoa SG, GJ anaondoka, then unataka kumleta Milner ambae hajui tamaduni za LFC, hajui ina maana gani kuvaa the famous red jersey, ili aongeze experience, tumebak/tutabak na skrtel tu, kama Lucas akitaka kuondoka, sitaumia sana, coz kitendo cha Hendo kupewa u-vice Captain ahead of Skrtel and Lucas ni kuonyesha Ego tu za BR, no wonder Hendo kila baada ya game huwa anamtetea baba ake!! Hatutafika kokote na watu hawa!
Kuna reporter wa Germany, alisema itakuwa ni NGUMU sana kwa Klopp kuipiga Chini LFC kama ikimfata.