everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
We are out from CL guys!
Pole sana kaka yangu........
We are out from CL guys!
Wanachungulia tu hawawezi kuja muda huu.
Tuwape pole tu hukohuko waliko.
![]()
Haya wakuu tumeona mtanange wenu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding ... .. dong ....
''Michael Dawson's header the difference.
He was certainly onside''.
Welldone brendan Rogers bonge la Manager kama Swansea vile timu.... Mignolet,Skrtel,Hendo,Coutinho naCan ndio wanaocheza wengine wamesindikiza msafara wanasubiri warudi home watume picha zao za Instagram na Kalikiti zao za nywele na Hina zao za michoro basi Hawana jipya...... Brenda aondoke tu.
Mimi hapa....
Mimi hapa....
Kwa wapenzi na mashabiki inauma sana kupoteza mchezo kwa goli ambalo halikuwa halali.
Inauma sana tena sana...... Poleni sana watani zangu ndo soka hilo
malafyale alisema man u au city mmoja atampisha UCL, lets keep on waiting, time will tell
Inauma sana tena sana...... Poleni sana watani zangu ndo soka hilo
Ein bischen.
Pole sana kaka yangu........
Kama kuna timu ambayo naionea huruma msimu huu ni L'pool. Sijui kwanini walimruhusu Suarez kuondoka kirahisi rahisi wangeng'ang'ana naye tu. Ukiona sura za wachezaji na kocha zimejaa simanzi na yule dogo kama ataamua kuondoka basi bundi atakuwa ametua rasmi L'pool labda wafanye usajili mzuri sana.
Asante sana
Vipi jambia bado halijapata kutu kwa kukosa damu
Nyumba yangu ina majanga lakini ya jirani mmmmhhhh!!! Acha lilikuwa kosa kubwa kumuachia Suarez cheki kule Barca anavyofanya kazi vizuri karibia kila mechi hakosi kagoli kake,leo katupia 2 kati ya 6 waliyopata....