Calvin IA Lyamuya
Member
- Apr 21, 2015
- 6
- 1
Kukosekana kwa Azpilicueta kunaniuma sana...heri Ivanovic asingekuwepo!
Kaka hizo selection hawajakosea..Ligi ya uingereza hakuna mbovu
Kukosekana kwa Azpilicueta kunaniuma sana...heri Ivanovic asingekuwepo!
![]()
The PFA Premier League Team of the Year for the 2014-15 season was announced on Sunday
dah, kaka malafyale last season mlikua nafasi ya pili on table na kocha huyu huyu BR, leo hii liverpool haina kocha, serious??
Anaondoka Diaz Suarez UNAMLETA Balaoteli hapo kuna kocha?dah, kaka malafyale last season mlikua nafasi ya pili on table na kocha huyu huyu BR, leo hii liverpool haina kocha, serious??
mchango wa suarez ulimbeba sana jamaa na kufunika upungufu wake wa attacking tactics
Suarez ndiyo kamfanya BR abaki Liverpool hadi leo!Hana lolote huyu kocha
mchango wa suarez ulimbeba sana jamaa na kufunika upungufu wake wa attacking tactics
Inabidi Suarez arudi kuja kuchukua mikoba ya BR. Awali Malafyale alisema SG ndiye aliiponza timu kwa vipigo mfululizo, leo tena Suarez kaacha pengo kwani dirisha la usajili silingetosha hata kuweka mwanya kwann hamkusajili?
Poleni wakuu mwaka huu mtacheza mashindano gani? Europa au CL. Komaeni tu ule ujanja ujanja wenu kwishnei khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding .... . .. dong. Malafyale kama mpole kama kuku aliyenyeshewa na mvua.
yetu machoNacheza CL
Man United au Man City ananipisha hapo
majogoo tumewamiss sana, sina uhakika kama bado mnakumbuka kuwika, ngoja tuone mechi ya leo!
Reliable PERCY saying we want BENTEKE, then if that's true, inaonekana bado hatujajifunza kwa Caroll, Lambert na MB, benteke ni mmoja wapo wa Strikers ambao hawaendan na aina ya uchezaji wa LFC!