Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


salute... salute... salute
 

hapo nakongomelea kabissa, tena kwa accent ya kisukuma cha sengerema
 
Future bila present ni umaamuma

Angekuwa hana present sidhani kama angeonekana na vigogo vya soka duniani. Liverpool na Man U walipokuwa wanamfuatilia Depay alikuwa na present, anachokitaka kijana ni kung'arisha future yake.
 
jamani liva liva jamani hata big 4 basi jamaniii daaahh hakuna timu iliyo na washabiki wenye roho ngumu kama liverpool kweli inataka moyo
 
kila nikikumbuka ule usajili wa remy halafu liverpool wakaja kusema eti hafai hana viwango chelsea wakamchukua huyu huyu leo ndie anaeisaidia chelsea
 

Pamoja kiongozi

Kwa msimu huu BR amekumbana na misukosuko mingi, kuna ambayo inaonekana niya kujitakia na mengine probably niya kusababishiwa plus kuna yale ambayo ni lazima kutokea kutoka na na uhalisia wa mchezo wenyewe

Katika hayo mapito, uongo mbaya kama jinsi ulivyoainisha kwenye maelezo yako, wewe ni mmoja wa wale ambao ulipiga moyo konde na kumtetea hata pale ambapo hasira za wanaliverpool zilioneka kuwaka na kutaka kuunguza jamvi.

Umeongelea possibility ya BR kushindwa kufanya kile mashabiki tunachokitaka ( Ushindi/ Ubingwa) kwa resources zilizopo kwa sasa. Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Pamoja na kukubaliana na wewe lakini pia ninaamini BR ameliona hilo na vilevile najiaminisha kwamba atalifanyia kazi tatizo hilo.
Nimeona kwa twitter, Tony Barret ameandika “Brendan Rodgers has admitted Sturridge could miss rest of season & said Liverpool need a forward who can "play at a top level every week."
 
Mkuu osokonoi wacha tu huu msimu uishe kwa kweli haiwezekani everlenk aje kututambia humu huku Ntuzu akipita pita humu

BR me naona atuachie timu mkuu

Mkuu Ed n Edd nEddy, the fact is msimu umetuendea kombo na mwaka jana everlenk alikuwa akijificha kipindi cha the chosen one. And what can we say about plastic team…rent boys are rent boys managed by the person who cares nothing about football.

Kiongozi I will still give BR one last chance!
 
Last edited by a moderator:
I hope tunawapiga hao WBA maana hii game ya sahv sou na tot bado wako droo naham iishe hivo hivo ndo ila sijui kama kuna possibility
 
[h=1]Balotelli starts for Reds at West Brom[/h]Author:
Phil Reade

Brendan Rodgers opts for three changes to his Liverpool line-up for this afternoon's Barclays Premier League clash with West Bromwich Albion at the Hawthorns.

Mario Balotelli starts for the Reds up front for the first time since the Europa League defeat to Besiktas in Istanbul on February 26. The Italian comes into the side to replace Lazar Markovic.
Jordon Ibe, who was cup-tied for Sunday's FA Cup semi-final defeat to Aston Villa at Wembley, returns to the team to replace Joe Allen.
At the back, Glen Johnson is restored to the starting XI - the full-back comes in to replace Alberto Moreno.
Steven Gerrard will make his 500th league appearance for the Reds, while Adam Lallana is named on the substitutes' bench for the 3pm BST kick-off.
Liverpool's XI: Mignolet, Johnson, Lovren, Skrtel, Can, Gerrard, Coutinho, Henderson, Sterling, Ibe, Balotelli.
Substitutes: Jones, Toure, Manquillo, Lallana, Allen, Borini, Markovic.
 
Bascombe kareport kuwa kapewa hela na Amekuwa summoned kule Boston (FSG base) hiyo June...

Ila kwangu mimi NAONA mambo yanaweza kumuharibikia zaid kama akiboronga kwenye hizi game SITA zilizobaki.

Mkuu Let us hope zitatumika vizuri aiseee, maana dah
 

Ngoja tuone mkuu osokonoi hizi game zilizobaki kama anything can change
 
Last edited by a moderator:
Hahhahah!!! Rodgers kishapagawa jamani!!!!

Hahahahah!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…