Nimesikia kuwa FSG wanataka ku-review mkataba wake this summer ingawa bado anayo-support kutoka kwao.
I wish to see new coach, new season, strong team, true hard LFC
FSG will sack BR, hawez kupona sahiv, hawawez kurisk kuigawanya Fanbase ya LFC, hicho kitu ndo kilifanya Daglish awe sacked.
Pressure ipo kwa pande zote MBILI, owners na BR, but BR ndo imezidi, na to be fair sidhan kama atalalamika kama akipigwa chini, coz mwenyewe anaelewa kaharibu, FA cup was his only lifeline, ingeweza kumsave, but ile display imeonyesha he's not a winner kabisa, nishawah kusema BR always flops when it matters, siyo mtu wa big occassions, kwa mtindo huu hawez kuipeleka team sehem yoyote ile!
Having a maganer who prefers Joe Allen over Emre in the midfield inakupa picha yote kuhusu huyu mtu, aliswitch formation mara 3 katika first half dhidi ya villa.
Markovic ni talented player than lallana, but anachezeshwa kwenye RWB, position ambayo hajawah kucheza tangu azaliwe, mchezaj ambaye umemnunua 20m unatakiwa umpe nafas aonyeshe thaman yake, but kila kukicha anazid kuipoteza confidence ya Marko,
Rafa is available, Klopp is available, Unai Emery will be available at the end of the season, De boer too, we should be going after them kabla hawajabebwa na clubs zingine...
Haijalishi itakuwa ngumu kiasi gani kuwapata, but wote watakuwa free, FSG wanatakiwa kuonyesha ambition sasa, aiming big kama LFC owners wa ukweli, No more rodgers shit.