Alicho-post MB insta
Hapo ilikuaje kwani mechi sikuiona
Alicho-post MB insta
ukifukuza chizi, tupa na makopo yake... hiki kitoto ni cha kuuza kabisa
kimavi fulani hivi
anataka kwenda asenane, ila ndio hivyo liverpool would rather cash in big from citeh... Maureen hawezi kutoa pesa nyingi kwa yule dogo, maana dogo mwenyewe ni majinuniHahahahahaha lol! Eti kimavi fulani lol! Nasikia msimu ujao atatia uzi wa Chelsea au MANC wako tayari kutoa dau la 30 million pounds. Sasa sijui ataamua kwenda wapi.
Unaweza ukamsupport sana BR, but baadae anakuja kukudsappoint vibaya sana!
Am with Pazi now, this bellend gotta Go, ameshafail pale LFC, 3 years without a trophy, kocha gani wa LFC kawah kufanya hivyo tangu miaka ya 60??
Yaan unakuwa outclassed na Tim sherwood!!!???
#RodgersOut .