LIVE UPDATES:Yanga SC Tanzania vs KCC Uganda

Hawa jamaa wa KCC ni wa ajabu sana wameingiza Ndege Mwarabu uwanjani ili awe mchezaji wa 12!!,haya ni Mapumziko Yanga 1-KCC 0
 
Dakika ya 20 Bahanuzi anakosa bao akiwa ndani ya 6 anaiga shuti linakwenda nje ni baada ya kuwalamba chenga mabeki wawili wa KCC!
 
bahanuzi wangempeleka Ashanti kwa mkopo Maana hata sielewi tatizo lake Nini!
 
Dakika ya 20 Bahanuzi anakosa bao akiwa ndani ya 6 anaiga shuti linakwenda nje ni baada ya kuwalamba chenga mabeki wawili wa KCC!

Halafu huyu bwa mdogo alisema anataka kurudia ile form yake ya Kagame Cup, vipi kiwango chake?
 
Hakuna kitu mkuu hana mpira kwa sasa anacheza kibishoo sana mi Yanga damu lakini huyu ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao kiukweli si chochote si lolote,labda tusubir!
 
habari za saa hii wakazi wa humu ngapi ngapi naona kelele tu hapa..
 
Hakuna kitu mkuu hana mpira kwa sasa anacheza kibishoo sana mi Yanga damu lakini huyu ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao kiukweli si chochote si lolote,labda tusubir!

chezea ndumba za jerry tegete wewe..
 
Back
Top Bottom