LIVE UPDATES:Yanga SC Tanzania vs KCC Uganda

LIVE UPDATES:Yanga SC Tanzania vs KCC Uganda

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Wakuu heshima kwenu.

Kama kawa tayari nimetua ndani ya Jiji la Mwanza (Rock City) ambapo Mabingwa wa Tanzania ambao juzi tu wamekbidhiwa zawadi za Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 90,ambapo leo wanaingia ndani ya uwanja wa CCM Kirumba kuchuana na KCC kutoka nchini Uganda katika ziara yake ya kuitembeza Kombe lao kwenye ukanda wa Ziwa Victoria.

Nawaalika wadau wote wa Yanga ambao watakuwa ndani ya uywnaja wa CCM Kirumba tuhakikishe kwamba tunatoa Updates ya mchezo mzima kwa dakika zote 90 za mchezo,naamini panapo majaliwa Yanga kama kawa na kwa sababu uwanja wa CCM Kuna zindiko kuu l aushindi wa Yanga tutaibuka na ushindi.

Makoye Matale,Idawa,NA WENGINE WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE karibuni sana tuishangilie sana Yanga.WABHEJASANA BABHEHI!

Kikosi cha Yanga leo ni :Banthez,Mbuyu Twite,Oscar Joshua,Kelvine Yondan,Nadir Haroub (Canavaro),Frank Domayo,Mrisho Ngassa,Athuman Idd Chuji,Simon Msuva,Didier Kavumbagu,na Jerson Tegete,kwenye Benchi😀eo Munishi,Abdul Juma,Salum Telela,Nizar Khalfan,Said Bahanuz,na Shaaban Kondo.
 
Ushindi leo lazima ili heshima ibaki na iendelee kuwepo ndani ya CCM Kirumba kisima cha ushindi wa Yanga
 
Mkuu mbona hii thread umeileta huku hoja mchanganyiko...omba mods waitupie kule nyumbani jukwaa la sports.
 
Mkuu KISS FM watakuwa hewani tufaidi?
 
Mkuu mbona hii thread umeileta huku hoja mchanganyiko...omba mods waitupie kule nyumbani jukwaa la sports.

Mkuu kama hakuna mbaya kukaa hapa ambapo kila mmoja hata asiyekuwa mwanaspoti anaweza kuiona namna ambavyo Yanga leo wanamla mtu sio tatizo lakini kama kuna hoja ya msingi sana kwwenda kwenye jukwaa la Spoti siomba sana Mods naomba mlipime hili.Ahsante sana mkuu wangu Watu8 tuko pamoja sana.
 
Haina shaka hata hapa basi haitakuwa mbaya...
Hii mechi itaanza muda gani?

Mkuu kama hakuna mbaya kukaa hapa ambapo kila mmoja hata asiyekuwa mwanaspoti anaweza kuiona namna ambavyo Yanga leo wanamla mtu sio tatizo lakini kama kuna hoja ya msingi sana kwwenda kwenye jukwaa la Spoti siomba sana Mods naomba mlipime hili.Ahsante sana mkuu wangu Watu8 tuko pamoja sana.
 
kama hakuna nyomi mashabiki wa Rocky City wanatuangusha

We uko makini sana Mkuu nilikuwa namaanisha hakuna nomi,sasa ndo hivyo tena si unajua tena haya madude ya Touch Screen sometimes yana madhara yake,pamoja sana mkuu wangu,nyomi lazima kwa sasa ndio nataka kuana safari kwenda uwanjani,natokea maeneo ya Malimbe Nyigezi huku nilikuja kuwaona wadogo zangu wawili wanasoma hapa,na mimi pia nimekaa hapakama miaka mitatu mkuu,nikifika uwanjani nitakujuza,lakini taarifa nilizo nazo ni kwamba uwanja kwa sasa bado haujatapika na sijui kama utatapika kama kwenye ile mechi kati ya Yanga na Esperance ya Tunia ligi ya Mabingwa ambapo mtu mzima Manji aliilipia Cash Milioni 120 watu waingie Bure,ebwanaeeee uwanja ulitapika na tangu hapo haujatapika hivyo tena!.
 
Haya maombi ya wengi ni Ushindi Mods kama mnanipata wadau naona wamecharuka wanaitaka hii Thread kule nyumbani kwake,peleka hiyo kitu,wapi AshaDii,wapi Moderator,wapi ingine yote?,pelekeni hii kitu huko bana kwa sanani naona wanaume kama mimi wamecharuka huku mitu yote iko taka habari ya Yanga leo ataifanya nini KCC from Uganda ndai ya uwanja wa CCM Kirumba!
 
KCC piga hao ndala, mechi za kirafiki ni ngumu kuhonga.
 
Goli Tano halafu sharubu waipate habari yetu

Mkuu siponi LIKE nilitaka nikupe hiyo tu kwa sababu unaonekana wewe ni Mtabiri Mzuri nilikuwa nawaza kitu kama hicho lakini nikawa naogopa kuandika humu ndai kwa sababu kuna watu wanaionea gele yanga!.
 
Back
Top Bottom