ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Mpira umekwisha Yanga 1-KCC 1 kKesho Shinyanga WAKUU WABHEJASANA!
watacheza na timu gani huko shy town..
Mpira umekwisha Yanga 1-KCC 1 kKesho Shinyanga WAKUU WABHEJASANA!
Yanga dhaifu 1
Haya bdakika ya 32 Bahanuzi anakosa bao lingine akiwa yeye na kipa.
Mmepigwa: Yanga 1-2 KCC, na kule Tabora Rhino 1-3 Simba.Mlioko Shy Town tunaomba matokeo ya leo.